Search results

  1. Ndetirima

    Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?

    Kuna anayejua hii michoro ina maana gani?
  2. Ndetirima

    Mwanza: Mfanyabiashara alalamika mzigo wake kuchukuliwa na tume ya ushindani, adai FCC wamechukua milioni 3 ili wamsikize bila mafanikio

    Naomba Mheshimiwa Rais alione hili ======== Mfanyabiashara mkoani Mwanza amelalamika mzigo wake wa milioni 40 alioutoa nchini Kenya umechukuliwa na FCC huku wakichukua milioni tatu ili wamsikilize. Mfanyabiashara huyo amesema alichukua mzigo nchini Kenya wa mifuko 2000 ya wall put na kufika...
  3. Ndetirima

    Uonevu mkubwa huu Serikali iliangalie hili

    Huu uonevu mkubwa sana kwa Mtanzania anaetaka kijikomboa.
  4. Ndetirima

    TANESCO mnatutesa

    Tunaomba mtujulishe kukosekana kwa umeme huku Kilakala Bong'ola Morogoro Jana 10/11/2022 na leo 11/11/2022 bila taarifa yoyote sababu ni nini? Kama ni mgao tunaomba tujulishwe ratiba kupitia Mtendaji wa Mtaa ili tujipange hii ni shida sasa. TANESCO
  5. Ndetirima

    Biashara ya gesi ya matumizi ya kupikia majumbani

    Nauliza kwa anayejua faida ninayoweza kupata kwa kufanya hii biashara na kiasi kizuri cha kuanzia yaani mtaji.
  6. Ndetirima

    Moruwasa wanavyotumia vibaya hela za miradi ya maji na kutaka kuwavulumu wananchi

    MORUWASA wanatumia hela za miradi ya maji vibaya bila ya kufanya upembuzi yakinifu ili kuanzisha miradi ya maji yenye maji ya uhakika kwa mwaka mzima. Moruwasa hapa Morogoro wamekuwa wakiingilia na kutaka kuchukua vimiradi vya maji vya vikundi vya wananchi waliojichangisha hela na kuanzisha ili...
  7. Ndetirima

    Hii kitu ya CCM niliipenda ila haikuzingatia usawa wa kijinsia

    Usawa wa kijinsia unahitajika hapo. Kuna wanawake wengi CCM wanaweza kuwa kwenye nafasi ya juu pia. Wawaweke nao tuwaone wanavyocheza.
  8. Ndetirima

    I Love my Country - Tanzania

    Where " Sex is free but Love is Expensive" Where "Loosing a phone is more painful than loosing a virginity" Where " If you don't cheat on ur partner u r not smart and sharp" Where "Getting a Blackberry or I phone is greater than achieving a Degree" Where "there is no difference between a...
  9. Ndetirima

    Hukumu ya Kamati ya uchaguzi Simba inakuwaje?

    Huwa najiuliza sana Kamati inatoaje hukumu kwa mtu bila hata kufanya nae mazungumzo na kumpa nafasi ya kujitetea mi naona ni kama udikiteta fulani unaoendelea na kuonyesha ubabe usiokua na maana yoyote. Wambura anaogopewa nini kiasi hicho na kama wanafikiri wanachama hawamtaki si wakubali...
  10. Ndetirima

    Mila hizi za Kichaga mnazionaje wenzangu

    Mila sio zote zenye nafasi, zipo baadhi hazifaikabisa kama kutoa kafara ya kuchinja mbuzi na kunyunyiza damu, kwa mfano umenunua gari mpya, umejenga nyumba unatakiwa ufanye, huu mi nauona ni ushirikina kwa nini msifanye sala tuu kwa jina la Yesu. Nyingine kwa mfano kufukua kaburila marehemu na...
  11. Ndetirima

    Mwenye habari za maamuzi ya tff leo august 16 2013 kuhusu ngasa atuwekee

    Tunaomba habari kuhusu maamuzi ya TFF kuhusu Mrisho Ngasa kwamba ameizinishwa Simba au Yanga?
  12. Ndetirima

    Ninawasiwasi mkubwa na ujenzi huu

    Ninawasiwasi na ujenzi kama huu wa gorofa ya matofali ya kuchoma na udongo endapo kutatokea tetemeko kidogo tu la ardhi, madhara yanaweza kuwa makubwa sana. Jamani inabidi tuangalie uimara kwanza badala ya kujenga gorofa kutafuta sifa wakati uimara hakuna. Bora ujenge hata vyumba viwili imara...
  13. Ndetirima

    Vodacom wameniibia

    Jana mchana nineingiza salio kwenye simu yangu line ya Vodacom TZS 1,000/= baada ya saa moja nikatumiwa ujumbe wa simu kuwa nimeingizwa kwenye bahati nasibu ya TZS 11,000,000/= na wakakata TZS 550/= toka kwenye salio langu ili hali sijatuma ujumbe wowote wa kuhitaji kucheza bahati nasibu yao...
  14. Ndetirima

    Hodi ndugu zangu

    Jamani nimeingia toka jana bila hodi. Naomba kukaribishwa rasmi. Samahani kwa kuingia na kula bila kukaribishwa wala kunawa.
Back
Top Bottom