Search results

  1. mabuladaud

    Naomba mnisaidie, modem yangu nikiiunganisha na mobile hotspot inazima

    HAbari zenu wakuu? Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine. Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja alama za maneno tu. Nmejaribu ku unistall tatzo bado lipo.
  2. mabuladaud

    Mtego wa Jana Sumu

    Kwa hali ya Maisha iliyopo saivi Ni bora nisioe au nioe basi tuu maana kuzini kumekuwa kama jambo la kawaida. Nipo hapa geto naishi na jirani yangu ambaye ni mfanya kazi mwajiliwa wa sarikali, pia ameoa, NA mimi ni mwanafunzi bado. Sasa kinacho nipa shida kila siku ni kuwaza kuhusu hawa...
  3. mabuladaud

    Mwenye Vifaa Hivi Tuwasiliane

    Natafutasimu aina ya nokia 3310 3g,4g, nokia 8110 4g iliyotumika au hata kama ni mpya nna shida nayo sana, na kuhusu mahali ulipo haina shida ili mradi upo Tanzania nitakupata tuu. Na kma maduka ya simu ipo mahali unaweza ukanisaidia kunipa mawasiliano maana nmeangalia maduka ya Mbeya na Mwanza...
  4. mabuladaud

    Kufanikiwa mara ya kwanza taabu saana

    Nimeamini kweli suala la kusex kwa mala ya kwanza si jambo dogo maana nimejionea mwenyewe. Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 19 ivi katika kupambana kwangu sijawahi kufanikiwa adi sasa, Ngoja nikwambie ukweli; Niliwahi kwa mala ya kwanza kungea ne mtoto wa kike akanielewa akaw a...
  5. mabuladaud

    Msaada

    Wakubwa poleni na majukumu, mimi nipo apa guest kwa mala ya kwanza ndo nipo na demu iv ila sasa kasema nivae modo sasa ndo nipo najiuliza je nikifika dukani niulze nn maana naogopa kusema nahitaji condom jamani nisaidieni nisije aibika mwenzenu, wenzangu cjui huwa mnasemaje mkifika madukani.
Back
Top Bottom