Search results

  1. K

    Msaada wa kujua Vyuo!

    Jamani wana Jf naomba msaada wenu, nahitaji kujua ni vyuo vipi & vinapatikana wapi, vyenye kutoa CHETI /DIPLOMA ya fani ya Librarian. Kwa mwenye kufahamu naomba anijuze, & ikiwezekana anipe na full address. Natanguliza shukrani zangu.
  2. K

    Chadema msione aibu kuiga NCCR-Mageuzi kwa kuthubutu

    kama kumvumilia mtu ndio uamuzi mgumu, kwanini chadema walishindwa kuchukua maamuzi hayo "uyaitayo" magumu zidi ya madiwani wa Arusha?
  3. K

    Mkuu wa Mkoa Mtwara atunukiwa Nishani na Papa Benedict XVII

    Kwanza sidhani kama unaijua vizuri jiografia ya Kigoma & Tabora! Pili, Ruzoka ni mzaliwa wa mkoa wa Kigoma, kwa vyovyote vile & kwa namna yoyote ile atakuwa na maslahi na mambo ya mkoa mama wake bila kuacha pembeni maslahi ya dini yake.
  4. K

    Mkuu wa Mkoa Mtwara atunukiwa Nishani na Papa Benedict XVII

    Ni kweli askofu Ruzoka sio askofu wa jimbo la Kigoma, lkn elewa kuwa Ruzoka na mzaliwa wa Kasulu-Kigoma., pia khs suala la Zitto kwanza nadhibitisha kauli yangu kwa 1)Nilimsikia Zitto mwenyewe akikiri kupitia Tuongee Asubuhi program-STAR TV kuwa kuna maeneo ktk jimbo lake aliambiwa kuwa hatopewa...
  5. K

    Mkuu wa Mkoa Mtwara atunukiwa Nishani na Papa Benedict XVII

    Binafsi si shangazi na hiyo NISHANI, kwani Bw Simbakalia ni miongoni mwa wakatoliki walio isimamia vyema mikakati ya kudhohofisha nguvu ya waislamu mkoa wa Kigoma pamoja na kusimamia kwa uadilifu uliotukuka WARAKA wa kanisa wakt wa uchaguzi mkuu 2010, alihakikisha ktk mkoa wa Kigoma bila kujali...
  6. K

    Udom:- mtazikalia transcripts zetu hadi lini?

    Mzee, pale udom mambo yao wanavyo yaendesha ni zaidi ya shaghala baghala, utazani hawana uzoefu na namna chuo kinavyo takiwa kuendeshwa. Yaani wanakera kupita maelezo!
  7. K

    Udom:- mtazikalia transcripts zetu hadi lini?

    Binafsi nashangwaza sana na utendaji kazi wa ofisi ya Admision & DVC- ARC chini ya Prof. Ludovick Kinabo, mana haiji akilini tangu June 2010 tulipo hitimu chuo pale Udom (first intake) hadi sasa hatujapata Academic Transcripts zetu. Si kana kwamba hawajatoa Transcripts kwa wahitimu wote, ila...
  8. K

    Hashimu Rungwe: Mbatia ni Kibaraka wa CCM na ni Dikiteta Kulinda Maslahi ya CCM!!!

    Wewe Muha toa Huha wako hapa, kwanza kajifunze Kiswahili ndio uanze kuandika!!! Huyo Rungwe alikuwa wapi kuyasema hayo, hadi anasubiri yamkute yaliyo mkuta? AKILI ZA KUAMBIWA, CHANGANYA NA ZAKO!
  9. K

    Kwanini JK hakubaliki ndani ya EAC?

    nakubaliana nawe 100%. Ardhi yetu inawatoa udenda nchi wanachama EAC hasa Kenya. Kwa hili nami nawapongeza rais JK, PM Pinda & waziri/ naibu wake ktk kuwa na msimamo juu ya hili. Ardhi ni ya watz, si vinginevyo. Bravo Tz!
  10. K

    Vita kati ya Seif na Hamad Rashid yaibukia Manzese

    ndio mana wakapeleka posa ya kuongeza mke wa pili "CHADEMA" na ikapokelewa.
  11. K

    NSSF interview

    nimeipenda sana comment yako! Upo sahihi 100%
  12. K

    Said Bakhressa aanza kuwasogelea wanasiasa

    Jamani tusijenge utamaduni wa kupinga kila kitu au kupotosha vitu vingine, unasema viongozi wa serikali zingine (za nje ya nchi) huwa hawahudhurii hafla za kukata au ufunguzi wa biashara za mtu binafsi (mfanyabiashara/tajiri), tusiende mbali, this is a simple fact "alipokuja hapa nchini, Hilary...
  13. K

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Ktk thread nilizo wahi kuzisoma, hii imejaa uzushi & uongo uliokubuhu. Jamani hata kama tuna uhuru wa kuandika ila tuweni makini na tukiandikacho, tusifikie hatua ya kuupotosha umma kisa maslahi binafsi, either kujitafutia umaarufu au vinginevyo. Kwa tungo zenu hizi za kizushi mtawadanganya hao...
  14. K

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Elnino, nimeipenda sana hii coment yako, nashukuru kwa kutufumbua macho mana hata nami nina wazo hili la kufuga, ila sikujua nianzaje! Endelea kutuelemisha zaidi!
  15. K

    Matumizi Aloe Vera!

    poa ngoja tuwe na subira!
  16. K

    Matumizi Aloe Vera!

    Ahsante kwa ufafanuzi wako bro, ila tusubiri wenye utaalamu zaidi ktk hili ili watujuze zaidi.
  17. K

    Matumizi Aloe Vera!

    Jf doctor, naomba msaada wako kuhusu matumizi sahihi ya mu aloe vera, mana kuna sites fulani nimezisoma, baadhi zinadai kuwa ni vyema kuitumia aloe vera kwa matumizi ya nje (external use) kwa madai kuwa mu aloe vera unaathari ktk baadhi ya viungo vya ndani ya mwili. Wakati sites zingine zinadai...
  18. K

    Hi

    Habari zenu wana JF, nilitaka kukujulisheni nami nimejiunga rasmi nanyi. Hope mtanipa ushirikiano &uzoefu wenu.
Back
Top Bottom