Udom:- mtazikalia transcripts zetu hadi lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom:- mtazikalia transcripts zetu hadi lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kilindila Rojas, Dec 22, 2011.

 1. K

  Kilindila Rojas Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi nashangwaza sana na utendaji kazi wa ofisi ya Admision & DVC- ARC chini ya Prof. Ludovick Kinabo, mana haiji akilini tangu June 2010 tulipo hitimu chuo pale Udom (first intake) hadi sasa hatujapata Academic Transcripts zetu. Si kana kwamba hawajatoa Transcripts kwa wahitimu wote, ila pamoja na kuchelewesha kuzipata hadi June 2011, zaidi ya wahitimu 100 na mimi nikiwemo, transcripts zetu zilikuwa na makosa ya aina mbalimbali, mfano zipo ambazo zilikosewa GPA, Jinsia ya mtu "i.e badala ya Female unawekewa Male", zingine hazikuwekwa picha, & zingine ziliwekwa picha ya watu wengine "tofauti na mwenye transcript". Hivyo basi ilitulazimu kuziacha hizo transcripts kwa ajili ya marekebisho, na tuka ahidiwa kuwa itachukua muda mfupi kufanyiwa hayo marekebisho, chakushangaza toka mwezi wa sita 2011 hadi sasa hakuna hata dalili za kuzipata hizo transcripts, tukifuatilia unapewa ahadi zisizo timia. Nadhani wahusika pale UDOM wana tufanyia haya wakijua kuwa hatuna forum ya kupeleka malalamiko yetu, chakushangaza hadi wanzetu tuliowaacha (waliohitimu mwaka huu) walishapata transcripts zao, hivi hata uki- apply sehemu either kazi au nafasi ya kuendelea na masomo mfano nje ya nchi na ukahitajika kupeleka transcript, mtu utatoa sababu zipi za kujitetea ktk mazingira haya? Jamani tunaomba ushauri wenu njia zipi au nini tufanye ili kulifuatilia suala hili kwa ukaribu!! Nawasilisha.
   
 2. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Aiseeh!
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Nasema Udom hakina hadhi ya kuitwa University. Kila kitu pale ni shaghala baghala.

  Kuanzia top management hadi techinical level wote hawajielewi i.e yaani wapo wapo. Howcomes mwanafunzi ameshamaliza data zake zipo kwenye database then unakosea wakati wa kujaza kwenye cheti. Anawarudishia bado mnamzungusha, hapo elimu mliyompatia mnataka akaitumie lini sasa.

  Watu wengine wakipewa madaraka, akili huwa zinawaruka.
   
 4. K

  Kilindila Rojas Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari ndio hiyo!
   
 5. K

  Kilindila Rojas Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee, pale udom mambo yao wanavyo yaendesha ni zaidi ya shaghala baghala, utazani hawana uzoefu na namna chuo kinavyo takiwa kuendeshwa. Yaani wanakera kupita maelezo!
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  hadi wewe unalalamika leo?
  Serikali yetu sikivu leo imepiga kimya nini?
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  kutoa vyeti serikali imehusika vipi.. Nyie ndio kila kitu mnailaumu serikali, ukishindwa kuongoza familia yako still utailaumu serikali.
   
 8. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  leo mkuu umenikumbusha kitu cha EE105 .............................. unampata Rutatora?
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Umelijua leo hili? Udini uliopo pale ndio unachangia haya ukiongozwa na top management ya hapo inayopata order kutoka juu kumbe wangejua wanaharibu chuo kwa hyo acha Ubishi wa kulaumiwa hapa ni Serikali kwann washindwe kuwafuatilia hawa viongozi? Taarifa wanazo kama serikali unafikiri wamechukua hatua gani? Ari wasiilaumu serikali wewe vp wewe au ndio uwezo wako wa kufikiri umefikia hapa?
   
Loading...