NSSF interview

Mwana UoA

Member
Nov 8, 2011
47
6
Wana JF mambo ya nssf waacchieni wenye nchi utaumia moyo imekuwa kama michango yetu dili maana most of the source of income hawa jamaa washirika ya hifadhi ya jamii wanategemea contributions from employees but inapofika kuajiri wanasahau kabisa kwamba hizo pesa ni michango yetu. Sasa nimekuwa nikifuatilia maoni ya wana JF muda mrefu kuhusu mifuko hii kwa kawaida mie nina ndugu yangu mtu mkubwa tu ktk moja ya mifuko aliponieleza habari ya namna wanavoajiri ndugu zangu utaumwa bure nchi imeisha hii. Sitegemei kama kuna mtu ambaye hana mtu mkubwa wa kuwekea kimemo atapata kazi ila kitachotokea watu wote watawaita ila kuna watu wao tayari[special list] mambo kama haya yalitokea NAO watu walikuwa wana toa laki nne hivi ili jina lipitishwe moja kwa moja kwenye oral interview
 
uko right aisee, hakuna sehemu ambayo wanafata sheria katika kuajiri, Usitegemee kama huna mtu au hela utapata kazi NSSF au TRA.
 
I cant biliv...na uislamu je?au ndio moja ya vigezo vyenyewe...hembu huyo boss alikuambiaje..tumwagie bana
 
Kaka alijaribu kufuatilia jina langu wakasema halipo in maana sikupeleka application maajabu hayo kumbe kuja kugundua waliona jina si muislamu ni mkristo ikala kwangu kwa hiyo hata kama utaitwa unasindikiza waislamu pia kama kuna namna ya kuwasiliana na PCCB wayachunguze mashirika haya kuna rushwa kubwa sana
 
Acheni propaganda huyo jamaa anaonesha kamezwa sana na udini ndo mana anakuambia hivyo ,unataka kuniambia waliochaguliwa wote walikuwa waislamu? mbona mnaliandama sana shirika la nssf kwa sababu mkurugenzi wake ni muislamu? mbona sekta nyengine kama TRA na nyenginezo kuna wakristo wngi wamejazana na watu hawasemi ,ukweli ni kwamba nssf si kama ina udini ni kwa sababu namba ya waislamu na wakristo inakaribiana ndo mana watu mnapiga kelele ila ilitakiwa mashirika mengine yote yabalance kama ilivyo nssf ,hatupo kupractice udini inabidi pande zote ziwe na haki zinazokaribiana kwani waislamu nao wana haki ya kuajiriwa kwani wapo wengi wamesoma licha ya juhudi za kuwabana za maksudi zilizoandaliwa rasmi.
any way ninachosisitiza tusipeane propaganda tuelezane ukweli halisi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
 
Wana JF mambo ya nssf waacchieni wenye nchi utaumia moyo imekuwa kama michango yetu dili maana most of the source of income hawa jamaa washirika ya hifadhi ya jamii wanategemea contributions from employees but inapofika kuajiri wanasahau kabisa kwamba hizo pesa ni michango yetu. Sasa nimekuwa nikifuatilia maoni ya wana JF muda mrefu kuhusu mifuko hii kwa kawaida mie nina ndugu yangu mtu mkubwa tu ktk moja ya mifuko aliponieleza habari ya namna wanavoajiri ndugu zangu utaumwa bure nchi imeisha hii. Sitegemei kama kuna mtu ambaye hana mtu mkubwa wa kuwekea kimemo atapata kazi ila kitachotokea watu wote watawaita ila kuna watu wao tayari[special list] mambo kama haya yalitokea NAO watu walikuwa wana toa laki nne hivi ili jina lipitishwe moja kwa moja kwenye oral interview

Tunaikomboaje nchi hii katika hili?
 
Acheni propaganda huyo jamaa anaonesha kamezwa sana na udini ndo mana anakuambia hivyo ,unataka kuniambia waliochaguliwa wote walikuwa waislamu? mbona mnaliandama sana shirika la nssf kwa sababu mkurugenzi wake ni muislamu? mbona sekta nyengine kama TRA na nyenginezo kuna wakristo wngi wamejazana na watu hawasemi ,ukweli ni kwamba nssf si kama ina udini ni kwa sababu namba ya waislamu na wakristo inakaribiana ndo mana watu mnapiga kelele ila ilitakiwa mashirika mengine yote yabalance kama ilivyo nssf ,hatupo kupractice udini inabidi pande zote ziwe na haki zinazokaribiana kwani waislamu nao wana haki ya kuajiriwa kwani wapo wengi wamesoma licha ya juhudi za kuwabana za maksudi zilizoandaliwa rasmi.
any way ninachosisitiza tusipeane propaganda tuelezane ukweli halisi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.

nimeipenda sana comment yako! Upo sahihi 100%
 
wana jf naona sasa haya mambo tuyafanyie uchunguzi kwa kila sehemu na sio tu nssf.au wana jf wote tuajiriwe nssf? sasa tuangalie pia SSRA.Ni juzi kati tu jamaa wametuita katika interview na wengine wakisema kuwa kama husali na mama IRENE Mkurugenzi mkuu kanisa moja hupati kazi maana mama amefanya ofisi kama nyumbani kwake.
Wana jamii forum na huku nako vipi maana hao mangi waliojaa hapo SSRA si mmchezo.sasa na sisi ambao hatuna dini na hatusali kanisani wala msikitini inakuwaje?Naomba tutende haki katika uchunguzi na kuwa makini katika kufuatilia mambo.seriously inauma.
Wama jf habari nyepesi nyepesi zinasema SSRA ni TRA ndogo kwa hiyo mangi kama kawa tujimwage na sisi wa kutoka mwisho wa dunia cjui twende wapi?
 
Wana jf naona haya mambo sasa inabidi tumwachie Mungu mwenyewe ndio mweza wa kila kitu.Mimi naamini kama mwenyezi Mungu alikupatia elimu nzuri basi ipo siku moja pia atakupitia kazi nzuri, cha msingi nikuwa wavumilivu tu.
 
Yah,kama unatafuta kazi kwa mara ya kwanza mambo ni magumu na utaona kama huna bahati.Mimi nilishawahi kutafuta kazi miaka 2 nahangaika kila siku ila siku yangu ilipofika niliitwa kazini na nilikua mwenyewe, nikaonyesha vyeti vyangu tu na kuanza kazi.Kikubwa ni kuomba mungu na kutokukata tamaa kuapply kwani kila mtu anasehemu yake katika maisha.
 
f***ck off wote mnaoneza udini JF. TRA umewahi kuomba,ppf,pspf umewahi kuomba,au kwasababu CEo wao sio waislam. why kila siku ni NSSF? mna nini nyie? shirika linaperfom vzuri lkn mnaliandama... WHY? wapi wanaajiri kwa kufuata sheria?
 
Wape na wivu wao eti kwa vile linafanya poa
 
Hebu tuache utani pembeni, Naomba mnijulishe seriously hizo interview za NSSF zimetoka au bado hata kama zipo kwa wateule wachache?
 
Ajira ni ngumu sana kwa sasa. Nawatakieni kila la heri mnaotafuta msikate tamaa. Msichague kazi mradi ni halali!
 
jaman leo wameanza kuita nssf wale opereshen officer so cm zenu zwe okay interviws znaanza kesho na cm zmeanza leo hadi ijumaa
 
Back
Top Bottom