Msaada wa kujua Vyuo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa kujua Vyuo!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kilindila Rojas, Feb 10, 2012.

 1. K

  Kilindila Rojas Member

  #1
  Feb 10, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wana Jf naomba msaada wenu, nahitaji kujua ni vyuo vipi & vinapatikana wapi, vyenye kutoa CHETI /DIPLOMA ya fani ya Librarian. Kwa mwenye kufahamu naomba anijuze, & ikiwezekana anipe na full address. Natanguliza shukrani zangu.
   
Loading...