Search results

  1. E

    Nibake kweli au nimuache?

    Wanazengo naandika uzi huu kwa hasira sana.Kuna manzi anabana sana papuchi. Nimemuandalia mitego mingi atoe papuchi ila ndio imeshindikana.ataruhusu vyote lakini si papuchi.sasa simuelewi mashetani yake yamekalia wapi huyu ndege. Hii tabia inachukua muda mrefu sasa mpaka naanza kumkifu sasa...
  2. E

    Maumivu ya kiuno

    Waungwana samahani nina shida sana, nasumbuliwa na maumivu ya kiuno yaani kinauma balaa. Kukaa tabu, kuinama taabu, shida hasa ni nini? Wadau mbalimbali wanadai dawa yake ni kupiga show sasa mbona hizo show hata nikipiga sioni mafanikio? Kama kuna mtu anafahamu dawa mbadala naomba anijuze...
  3. E

    Coca-Cola inazuia ujauzito?

    Waungwana hivi ni kweli soda aina ya Coca-Cola inaweza kumsababishia binti asipate ujauzito pale tu atakapoitumia endapo atakuwa amekutana na mwanaume siku za heri za ujauzito?
  4. E

    Window lesence

    Naomba msaada wataalama wa pc kama kichwa cha uzi kilivyo. pc yangu inaandika window lisence will expire soon activate it. Sasa kila nikienda setting kui activate inazingia nifanyeje?
  5. E

    Kuna dawa ya kupunguza Kukohoa?

    Samahan waungwana Nina tatizo kurekebisha koo/kukohoa kwa kuhisi Kama nna kikohoo lakin sivyo.nimepima afya iko njema kifua Safi nikapewa dawa ikatulia kidogo lakin Tena Hali imejirudia.shida itakua nn? Je Kuna dawa naweza tumia hata asili nikaepukana na hii Hali?
  6. E

    Post graduate ina maana gani?

    Wakuu poleni na mihangaiko.samahani waungwana nimekua nikipata shida sana kutokana na hili neno post grafuate.hivi hii Ni ngazi gani ya elimu? Yani ina maana gani?
  7. E

    Mwalimu nyerere memorial

    Naomba msaada waungwana hicho chuo kikuu kinapatikana dar mazingira yake yakoje, je kina ushindani mzuri na vyuo vikuu vingine hapa Tanzania? Naomba msaada.
  8. E

    Kugegeda

    Wajumbe habari zenu.nimekua nikichungulia kwenye forum hii kwa siku kadhaa na nimepatwa na mtikisiko wa mawazo kutokana na neno kugegeda.hivi hili neno Lina maana gani? Maana Kuna muda nahisi ni Bata dume ambae anaitwa gegedu.huenda Ni typing error ya mwandishi Cha ajabu kila nikichungulia humu...
  9. E

    Naomba msaada mtu wa fasihi naumbuka[emoji31][emoji31][emoji31]

    Dramatic dialogue is a means of characterization in drama.justify
  10. E

    Mawazo kidogo naomba kwa aliyepitia fasihi naumbuka.

    Dramatic dialogue is a means of characterization in drama.justify [emoji31][emoji31]
  11. E

    Wanazuoni

    Nawasalimia sana ndugu zangu ni wazima wa afya humu ndani?
Back
Top Bottom