Naomba msaada mtu wa fasihi naumbuka[emoji31][emoji31][emoji31]

Ok fanya msaada ndugu yangu nipate mwanga na mm nitashukuru sana
Drama is the form literature acted on the stage by live actors.
A play, is the written form of literature which uses imaginative characters.

In a play or drama there are the following issues,
√dialogue=> under this element characters, talk with each other.
√action=> includes what characters do on the stage/in the play
√gestures=> includes what characters show through motion and expression.

Kwenye kipengele cha dialogue sasa kwenye swala la characterization utatakiwa kutoa idea ya nani kazungumza nin ndani ya play husika (throught out the whole play)
Kwahyo sasa unatakiwa kuonyesha mtu na uhusika wake na kwa vip kaongea

I.e Juliette as a main character in three suitors one husband... Utaelezea kaongea vip kupitia play nzima.

Mbaga- utaonesha ana position gan ya characterization na kasema nin ndani ya play kwa ufupi na wengine na wengine

Etc.
 
Thankyou for your idea ndg yangu
 
Back
Top Bottom