Coca-Cola inazuia ujauzito?

Esrom makono

Senior Member
May 11, 2019
121
76
Waungwana hivi ni kweli soda aina ya Coca-Cola inaweza kumsababishia binti asipate ujauzito pale tu atakapoitumia endapo atakuwa amekutana na mwanaume siku za heri za ujauzito?
 
Hii kitu naisikia sana kwa wanawake.

Sasa tukipata uthibitisho, itabidi ziwe zinakaa geto muda wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom