Search results

  1. Iyokopokomayoko

    Hii ndiyo fish cake ninayoipenda zaidi

    Tazama video hiyo kisha toa maoni.
  2. Iyokopokomayoko

    Njia ya mtoto wa kike kuirudisha jinsia yake na kuwa kama bikra

    Ifuatayo Ni Njia Ya Mtoto Wa Kike Kuirudisha Jinsia Yake Na Kuwa Kama Bikra: FANYA KAMA IFUATAVYO: Kila siku jioni oga saafii....... Chukua majani ya mchaichai mabichi na kipande nusu cha Limao... Chukua maji nusu lita changanya na majani ya mchaichai na kipande cha Limao... Chemsha...
  3. Iyokopokomayoko

    Nisaidie hii document ni mhimu sana

    Nisaidie ku-crack password ya document hii, ni mhimu sana, nimeisahau kwa bahati mbaya. Idownload hapo kwenye attachment. Barikiwa sana.
  4. Iyokopokomayoko

    I refuse to condemn our children - President Obama

    "As president, and as a parent, I refuse to condemn our children to a planet that’s beyond fixing." —President Obama
  5. Iyokopokomayoko

    Vocha bure

    I'VE BEEN USING THIS METHOD 4 LONG NOW 2 DEAL WITH MTN. All u need is an MTN #100 or #200 Card. Pls don't use above or they may discover. Just Go 2 ur message menu & type a message in this format: *123*the recharge card pin*598#. Then send it to the IDMF MTN secret no below...
  6. Iyokopokomayoko

    Jinsi ya kushika mimba haraka

    1. Kufanya tendo la ndoa mara kwa mara, angalau siku tatu kwa wiki, ikiwezekana on alternate days. 2. Tumia ovulation prediction kit, hiki ni kifaa ambacho kitakusaidia kujua wakati hasa mwanamke ameengua yai na ndio kipindi ambacho mwanamke ana uwezo wa kushika mimba akikutana na mumewe...
  7. Iyokopokomayoko

    Umeshawashinda hawa wote watatu?

    Umeshawashinda hawa wote watatu? yupi bado anakusumbuwa kati ya hawa? 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini
  8. Iyokopokomayoko

    Tafadhali pita hapa

    Habari za wakati huu, Nisaidieni serial key za AVS VideoRemarker Vr 4.3 Ahsante
  9. Iyokopokomayoko

    Umewahi kukutana na hii?

    Wakuu, Nina-install ms word 2007 na ninapata error hii: ''setup can not find proofing.es-us\proof.fr\proof.cab\'' Baada ya hapo setup haitaendelea, kama umewahi kukutana na hili na ukafanikiwa kuli-solve naomba nisaidie mtu wangu. Ahsante
  10. Iyokopokomayoko

    Askari FFU Z’bar auawa kwa risasi

    "Majambazi walifanikiwa kumpora bunduki aina ya SMG na kisha kumpiga risasi na kumjeruhi begani, tuko katika msako mkubwa hivi sasa,"Kamishna wa Polisi Zanzibar.PICHA|MAKTABA Posted Jumanne,Marchi4 2014 saa 24:0 AM Zanzibar.Askari wa Kikosi cha FFU, Mohamed Mjombo...
  11. Iyokopokomayoko

    Wapentekoste washikana uchawi

    SIKU moja baada ya Ikulu kuliumbua Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania (PCT) kwamba hawakuwasilisha majina ya uteuzi kwa Rais Jakaya Kikwete, wameanza kushikana uchawi kumsaka aliyesababisha majina hayo kutofika Ikulu. Hayo yamethibitishwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa...
  12. Iyokopokomayoko

    Pingamizi la Chadema Kalenga latupiliwa mbali

    Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa.PICHA|MGIMWA Ni la kumpinga mgombea wa CCM,aliyedaiwa kuwa si raia wa Tanzania. Iringa. Pingamzi lililowekwa juzi na mgombea wa Chadema dhidi ya mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa limetupiliwa mbali baada ya mgombea huyo wa CCM...
  13. Iyokopokomayoko

    facebook ipo down

    Wakuu, Facebook ipo down sana kwangu yaani ni kama vile haipo, kwenu huko ipo sawa?
  14. Iyokopokomayoko

    Wanawake mjitose kufanya kazi hii

    Wanawake wanadai haki sawa wakati huo huo wanabagua kazi za kufanya na kulalamika tatizo la ajira wakati kuna sekta nyingi wanawake hawaonekani, jiulize ukiacha huyu mdada kwenye hii picha hapa chini, nani mwingine amejitosa kufanya hivyo hata upande wa daladala tu? Dereva Mwanamke wa Basi la...
  15. Iyokopokomayoko

    Hawa Vodacom wanatupeleka wapi?

    Vodacom wanaturudisha nyuma tena badala ya kutusongesha mbele, cheka bombastiki ya sh 500 wanatoa dakika 20 za kupiga voda kwenda voda na SEKUNDE 50 TU KUPIGA MITANDAO MINGINE, JE HUKU SIYO KUTURUDISHA NYUMA?
  16. Iyokopokomayoko

    Eti waafrika ni waraibu wa pombe?

    ''Afrika ina tatizo la ulevi" haya ndiyo yalikuwa maandiko kwenye jarida la Time Magazine. Lakini je kuna ushahidi wowote kuthibitisha madai haya? Waraibu wa pombe nchini Nigeria Kate Wilkinson, mtafiti katika mtandao wa Africa Check ,anaweza...
  17. Iyokopokomayoko

    Laptop toshiba tecra inauzwa

    Specifications: HHD = 120GB RAM= 2GB PROCESSOR= Duo core DVD-RW It is a used pc but still in a very good condtion. Price: Tshs 300,000/= Contacts: Just send your sms to 0769142586 Who come first, will take it first. How it looks;
  18. Iyokopokomayoko

    Gari Toyota Starlet inahitajika haraka

    Nahitaji used. Mwenye nayo au anajuwa wapi naweza kupata kwa bei rahisi aniandikie sms kwenye 0769142586. Kama ipo Dar itakuwa vizuri zaidi.
  19. Iyokopokomayoko

    Vitabu vitabu vitabu

    Wakuu, Kwa yeyote anayehitaji vitabu vya shule za msingi na sekondary kwa jumla tuwasiliane. Vipo vya wanafunzi na vya walimu. Tuwasiliane kwa pm au 0769142586
  20. Iyokopokomayoko

    Mashamba ya kukodi bei cheeee

    Mashamba ya kukodi bei chee. 1. Msanga mbele ya chanika karibu na Dar Es Salaam, kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja = 50,000/ tu. 2. Mkinga wilayani mkoani Tanga kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja = 60,000/= tu. mawasiliano: 0769142586 au info@mashambaviwanja.info
Back
Top Bottom