Umeshawashinda hawa wote watatu?

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
1,785
441
Umeshawashinda hawa wote watatu? yupi bado anakusumbuwa kati ya hawa?

1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
 
...ukimshinda babayao anaitwa ELIMU,hao hawatakusumbua. Note: elimu sio kwenda darasani ni uwezo wa kutumia kile cha mudarasani...
 
Nilidhani unauliza.
SIGARA
NYUMBA NDOGO
POMBE
mimi nimeshindwa kuviacha.Kama kuna dawa naiomba taf.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom