Gari Toyota Starlet inahitajika haraka

Gari Toyota Starlet inahitajika haraka

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
444
Nahitaji used. Mwenye nayo au anajuwa wapi naweza kupata kwa bei rahisi aniandikie sms kwenye 0769142586. Kama ipo Dar itakuwa vizuri zaidi.
 
Nahitaji used. Mwenye nayo au anajuwa wapi naweza kupata kwa bei rahisi aniandikie sms kwenye 0769142586. Kama ipo Dar itakuwa vizuri zaidi.
Kama upo serious, niPM. Ipo Dar, rangi ya dark green, namba inaanza na B.
 
Nina Toyota Clavia bei m6 tu Starlet kizamani mkuu hamia Airtel
 
ungetaja bajeti yako ingekuwa safi sana.
 
Bei nahitaji kusikia toka kwako. Nimeshawahi kupigwa BAN hapa kwa kutaja bajeti yangu mtu akaleta dharau nikamtukana. Kwahiyo kama unayo sema unauza bei gani.

ungetaja bajeti yako ingekuwa safi sana.
 
Nina Toyota Clavia bei m6 tu Starlet kizamani mkuu hamia Airtel

nani kakwambia starlet na Clavia (Vitz) ukizipambanisha bora Clavia?
Starlet gari ngumu wala hiyo Clavia haifikii hata kwa ukaribu wowote.
 
nani kakwambia starlet na Clavia (Vitz) ukizipambanisha bora Clavia?
Starlet gari ngumu wala hiyo Clavia haifikii hata kwa ukaribu wowote.

acha kudanganya watu wewe,hata hujui mbadala wa stalet ni nini.
 
nani kakwambia starlet na Clavia (Vitz) ukizipambanisha bora Clavia?
Starlet gari ngumu wala hiyo Clavia haifikii hata kwa ukaribu wowote.

Unazungumzia gari za mwaka gani wewe! Ubora wa gari ni matunzo Gari za Mjapani zote zipo fresh usipumbaze watu kuwa ipi nzuri na ipi mbaya.... zote ni Japanese car.ila kwa hapa nchini kwetu gari zilizoanza kuja zilikuwa ni Starlet so kuna aina fulani ya fashion za magari Bongo... Vitz ni baada ya Starlet
 
Mwenyewe anataka starlet, unayo taja bei watu wamalize biashara!!! Hayo mambo mengine yanatokea wapi tena!!? Tupo wengi wahitaji ko tajen bei hadharan
 
Nakwambia leo hapa kuna vituko balaa.
Amechanganya na Gofu nini? AKumbuke hiyo Gari Inaitwa Toyota Starlet...na ni Mjapani mwenyewe na kiwanda chake nadhani mng'oa kucha ameamua kuleta Vituko haswa...
 
Last edited by a moderator:
Milioni mbili na laki tatu

Gari la Bei hiyo ujue halitembei iko moja Mtaa wa Muheza imepaki mwenyewe alikuwa aniuza m3 ila ukienda na mbili mkononi najua hatoziacha unamtishia na moja unusu bei ya Boda boda
 
Back
Top Bottom