Search results

  1. April Jr

    Msaada! Nawezaje kupata novel kama hii kwa ukamilifu bure pasipo kutumia App zao?

    The Ultimate Heir System FREE FREE FREE! MegaNovel Sep 9 2023 The Anderson family mansion looked different tonight. The sound of applause filled the room as a woman and a man took turns putting on the rings. Davis, on the other hand, smiled as he entered the room. This was the first time in...
  2. April Jr

    Hivi wenye umri mkubwa nao wanapurukushana kama vijana kwenye mapenzi?

    Nawasalimia nyote Ngja niende kwenye mada moja kwa moja. Nimejaribu kuwaza kwa sauti kidogo. Hivi hata wazee wanapokuwa faragha na wezi wao wanakuwa na purukushani nyingi kama ilivyo kwetu vijana? Nikiangalia kwa upande wetu vijana hata tukiwa vijiweni story zetu huwa ni kuelezea jinsi ya...
  3. April Jr

    Naomba kujua upatikanaji wa samaki kwa bei ya jumla

    Habari zenu wana JF Nataka kufungua duka la samaki hasa wale wanaotoka ziwa victoria but nina changamoto kadhaa. Kwanza sijawahi fika Mwanza kabla na pia sijui upatikanani wa samaki hao kwa gharama za jumla uko vipi. Tafadhali sana nahitaji msaada wenu
  4. April Jr

    HIP HOP Herufi sita tu

    Kibongo bongo nimekuwa muumini mzuri wa nyimbo za kufoka foka na shabiki mkubwa wa wasanii wanaorap, HIP HOP imekua harakati yenye maneno yaliyo na maana iliyojificha inayokutaka utulize sana kichwa mpaka kung'amua tafsiri yake, Kama kuna wenye utata twende sawa tupia mstari wa shairi...
  5. April Jr

    SIKIA HII

    Nigga fall asleep Usifall inlove [emoji54][emoji54][emoji54]
  6. April Jr

    Wapi naweza kupata monitor ya TV?

    Habari wakuu! Msaada tafadhali! Wapi naweza kupata monitor spare ya flatscreen inch 24 kwa hapa brand ya aborder model kama inanyoonekana kwenye picha
  7. April Jr

    Kuna madhara gani kula karanga kwa wingi?

    Natumia karanga kama breakfast, lunch hadi dinner, Natafuna ziwe mbichi, au kavu zote twende ingawa napendelea zaidi zilizokaangwa nashushia na maji,chai,juice au soda habari inakua imeisha
  8. April Jr

    Mjamzito kujifungua kabla ya miezi 9

    Msaada kwenye tuta Mke wangu amebakiza wiki 2 tu kufiisha miezi tisa ya ujauzito wake but sikuya pili leo tumbo limemsumbua sana nimefikisha hospital wanasema njia inafunguka Je, inawezekana akajifungua ikiwa uja uzito una umri huo?? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom