Chipukizi unaweza nipa email adress yao maana nliyonayo ujumbe haufiki
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Usije ukafanya kosa la kuwasiliana mtoa huduma wa tanzania kwa email unaweza subiri mpaka Yesu anarudi
Ha ha haa [emoji38][emoji38][emoji119]Usije ukafanya kosa la kuwasiliana mtoa huduma wa tanzania kwa email unaweza subiri mpaka Yesu anarudi
Bora ufike wewe mwenyewe au upige simu
Hata namba yao nimejaribu kupiga naambiwa haipo
mkuu wewe unaonekana ni mvivu sana.email ata ukijibiwa bado utatakiwa uipeleke hiyo TV kwenye repair center.Hizi Display na Circuit za TV yako na Brand nyingi za Kichina Kariakoo kuna maduka zaid ya 4 zipo nyingi tu.unaenda nayo unalipa wanakufungia unarudi nayo kwako.. Ni PM no yako nikupe fundi atakuja nyumbani kwako na atakubadilishia hiyo disply hapo hapo kwako. kama upo DarChipukizi unaweza nipa email adress yao maana nliyonayo ujumbe haufiki
ni PM no yako ni ku SMS no ya FundiHata mi yangu imekufa display ni OUling wapi ntapa fundi mzuri mkuu?