Naomba kujua upatikanaji wa samaki kwa bei ya jumla

April Jr

JF-Expert Member
Mar 27, 2019
244
1,220
Habari zenu wana JF

Nataka kufungua duka la samaki hasa wale wanaotoka ziwa victoria but nina changamoto kadhaa. Kwanza sijawahi fika Mwanza kabla na pia sijui upatikanani wa samaki hao kwa gharama za jumla uko vipi.

Tafadhali sana nahitaji msaada wenu
 
Kilo ya samaki Ni tsh 4000
Kuna mtu yupo mwanza anafanya hiyo biashara
Ukihitaji nitakupa contact akupe a-z
 
Hata ikiwa ni kutoka kwa wavuvi direct ila kwa bei rafiki itakayokuwa na faida kwangu
Sasa iko hivi Kama ni kutoka kwa mvuvi samaki hainaga bei maalum. Huwa inauzwa kulingana na cku hiyo imepatikana kwa kiasi gani!?

Mi nimtaalam japo cyo sana
 
Sasa iko hivi Kama ni kutoka kwa mvuvi samaki hainaga bei maalum. Huwa inauzwa kulingana na cku hiyo imepatikana kwa kiasi gani!?

Mi nimtaalam japo cyo sana
Naweza kukutafuta tukaongea zaidi?
 
Mkuu usijal Mimi nifanye hii biashara nipo moshi Kilimanjaro, nipo tayari kukusaidia naomba unicheki PM
IMG_20200415_080314_8.jpeg
 
Back
Top Bottom