Search results

  1. jey n

    Massare asema SGR imechukua maeneo ya Watu, Serikali itende haki, iache dhulma

    Kama kikotoo hakina shida si wakiweke kwao wabunge wa mchongo
  2. jey n

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Nashukuru maelezo yako basi ntajitahidi ifike 1m
  3. jey n

    Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    Nina kibanda kidogo nataka nianze biashara ya vipodozi 500k inatosha kuanzia??
  4. jey n

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Msaada nikitaka kufungua kampuni ya ujenzi kwa maana upande wa crb
  5. jey n

    Mwenye cheti cha labourbase anahitajika

    Yupo lakini ameshindwa kukikomboa anadaiwa 150k
  6. jey n

    Jinsi ya kujisajili katika mfumo NeST kama Mzabuni

    Mkuu hiyo ndo nzuri kuna wakandarasi walikuwa na tabia ya kutumia cv za watu bila kuwahusisha
  7. jey n

    NEST kuanza kutumika, TANePS kutotumika tena

    Huu mtandao umekuja mwiba kwa wale wakandarasi wanaopenda kutumia cv za watu bila ruhusa yao
  8. jey n

    Natafuta tenda ya ujenzi

    We ni mkandarasi au??
  9. jey n

    Waziri mkuu wa Uingereza bwana Sunak awasili Kyev, Ukraine

    😆😆😆😆😆hata mimi ujamaa staki kabisa kuusikia
  10. jey n

    Msaada, namna ya kuwa register ERB bodi ya wahandisi

    Sijafanikiwa imebidi niishie nilipoishia
  11. jey n

    Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kama serikali ipo na mbowe anafanya hayo makosa unayosema basi tulikuwa hatuna rais hapo ilibidi achukuluwe hatua no excuse.
  12. jey n

    Huna 10M usisumbue watu kudai michango ya harusi yako

    Hahahahah ulinitisha sana mkuu
  13. jey n

    Natamani kufanya kazi JKT

    H Hili hata mimi nimesikia ngoja tuone mwezi December
  14. jey n

    Msaada, namna ya kuwa register ERB bodi ya wahandisi

    Nilishajisajili kwenye mfumo na nikishalipia
  15. jey n

    Msaada, namna ya kuwa register ERB bodi ya wahandisi

    Habari za muda wadau wa jukwaa,naomba kwa anaejua anisaidie namna ya resubmit vyeti vyangu kwenye ukurusa wa erb
  16. jey n

    Msaada namna ya kuwa register erb bodi ya wahandisi

    Habari za muda huu wakuu,naombeni msaada namna ya kuresubmit vyeti vyangu hapa
Back
Top Bottom