Search results

  1. J

    Kwanini Rais anadhani kukusanya Hela ndio kukuza Uchumi?

    Kwanini Rais anadhani kukusanya Hela ndio kukuza Uchumi?
  2. J

    Anayesema "Hapa Kazi Tu" ukimuuliza unafanya kazi gani, hana jibu! Kavaa tu kofia ya Kijani:)

    Kila kona "hapa kazi tuuu...hapa kazi tuuu...", ukimuuliza, unafanyia Ofisi gani? anakodoa macho, au anasema ndo nimepeleka Vyeti juzi nasubiri kupigiwa simu!! Teh
  3. J

    OMBI: Serikali iunde Computer Lab. Kila Programmer akatengeneze anachojua kwa manufaa ya nchi

    OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI: Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo: Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs kuanzia RAM 8 na 1 TB...hazitawekewa Software yoyote, ziwe empty. halafu vijana wanaoona wanaweza ku...
  4. J

    TAHADHARI: Wasafi Festival inakuja kuua Fiesta

    Wakuu, Mimi ni mdokezaji tu, ni kama mjumbe wa nyumba 10. Ni hivi, Wasafi Festival inakuja kuifuta kwenye Ramani FIESTA, Fiesta ambayo imelea wengi, imeibua wengi tangu mwaka 2000 wakati wanashughulikia usajiri wa Nembo. Kina Dully, kweli mmekaa kimya? Mr. Blue...Nice, dudu, kweli??? OVA.
  5. J

    Watanzania, kuna battle ya BBC na Local media Houses.

    BBC inataka kuwa Giant wa Media duniani, ameshindwa Marekani sasa anataka kuiteka Africa. Huko kashindwa kwasababu kuna akina CNN, na uarabuni kuna kina Al Jazeera, huwezi kuwatoa kizembe. Kwahiyo BBC imenunua digital platforms zote, yaani imelipia package zote hadi 2022. Ndio maana huoni News...
  6. J

    Kwanini Serikali haitunzi Wasomi iliowasomesha? Kwanini ninahangaika?

    Wakuu, wana JF, good morning, Kuna mambo mtu hadi afikie kusema, tatizo huwa sio yeye...ni wazazi, walezi, wakufunzi na hata ni Serikali. Mimi nilichukuliwa na Wadenmarck mwaka 2000, nilipelekwa Denmark, na baadae chuoni niakenda Toronto, Canada...wamenipiga degree, nina uzoefu wa miaka 4...
  7. J

    Nimehamishiwa kikazi Mwanza nyumbani, natafuta mke tuunde familia

    Habari wana JF, Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke unanisumbua, ila nina ukabili kwa nia thabiti ya kumpata Mwenza.. Mke wa Maisha. Hivyo I'm not...
  8. J

    Jicho na Sikio ndio viungo pekee vya kulinda kwa hali na mali

    Habari wakuu, Naomba nizungumzie kuhusu Biolojia ya Mwili kwa ufupi; ni kwamba, unaweza kupata ajali au ukajikuta katika ugomvi na kuumia au kupoteza kiungo flani k.v. kidole, mkono, mguu, au tu kujeruhika. Sehemu zote za mwili kuanzia shingoni kushuka chini zinaweza kutibika kwa urahisi. Kwa...
  9. J

    Kuandika Ratiba ya kesho kunaimarisha Afya ya Akili.

    Habari wanabodi, Wengi huanza siku bila Ramani maalumu, yaani unaamka na kufanya yale unayofanya kila siku k.v. kunywa chai, kwenda kazini, kupitia watoto shule na kurudi nyumbani, etc. Nashauri kuwa, jijengee mazoea ya kuandika To Do List, au Orodha ya mambo utakayoyafanya kesho...hii hutoa...
  10. J

    Maamumzi ya Mchakato wa Katiba Mpya ni ya Wananchi au Rais? na pesa anatoa Rais au Wananchi?

    Wanabodi, Katika mambo aliyojadili jana Mh. Rais Magufuli ni kwamba, alikiri kuwa Wananchi wanahitaji Katiba mpya, akasema hilo kwasasa sio kipaumbele chake na hatotoa Fedha ili watu wakalale Bungeni. Kauli hii ina mambo 4: 1. Anakiri kwamba wananchi waliompa Urais wanahitaji Katiba Mpya 2...
Back
Top Bottom