Search results

  1. D

    Msaada, Kung'arisha Paving zilizofubaa

    Wakuu naomba kwa mwenye ufahamu wa njia ya kutumia kuzirejesha Pavements zilizofubaa ili zing'ae kama awali tutumie nini? Natanguliza shukrani.
  2. D

    Je, Toyota Urban Cruiser ni gari bora?

    Wakuu Salam, Moja kwa moja kwenye mada tajwa, naomba uzoefu wenu wa aina hii ya gari "urban cruiser" Kuna ambayo ni manual yanatumia diesel na kuna Auto yanayotumia petrol [emoji618] japo zipo chache kwenye site za magari ya japan ( befoward, Sbt..etc) je ni gari ya kuaminika? Nina fikiria...
  3. D

    Maoni Fikirishi: Wabunge wakatwe kodi kwenye mishahara yao

    Uchumi wa nchi umeshuka, katika kutafuta vyanzo vipya vya kodi nashauri Wabunge wawe wanakatwa kodi kwenye mishahara na posho zao wanazopata ( seat allowance)! Wabunge ni watumishi kama watumishi wengine ni vyema kama Wazalendo namba 1 wakatwe kodi kubwa zaidi kwa maendeleo ya wananchi wao.
  4. D

    Rangi ya blue kwenye LG SMART TV

    Wataalam msaada wa kuondoa rangi ya blue kwenye LG TV..Blue inazidi had picha inaonekana kwa shida. Model 43LJ550V-TA Software version 03.50.30 Serial no. 705EGFBL8203
  5. D

    Uchaguzi 2020 Je, waliotia nia CCM huku wakiwa wateule wa Rais Magufuli kutumbuliwa. Au waliomba ruhusa kama Rais alivyotaka?

    RC Makonda achukua fomu Kigamboni Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi. Dc Katambi wa Dodoma kachukua Shinyanga Mjini Asumpta Rc Pwani kachukua fomu Nkenge. Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable.
  6. D

    Sauti Sol ni wanamusic wa kipekee...

    Suzanne, Wimbo mpya wa SSoul, Wimbo umetulia kuanzia utunzi , melody hats video wasanii wetu wana cha kujifunza! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    Nafasi za kazi ualimu Kaizirege

    Wenye sifa zenu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Wataalam naomba msaada wa hii forester Subaru

    Msaada , kuanzia ulaji wake wa mafuta, durability na spea
Back
Top Bottom