Rangi ya blue kwenye LG SMART TV

devijoy

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
1,027
1,354
Wataalam msaada wa kuondoa rangi ya blue kwenye LG TV..Blue inazidi had picha inaonekana kwa shida.
Model 43LJ550V-TA
Software version 03.50.30
Serial no. 705EGFBL8203
 
Hiyo rangi ya blue inakua kama hii
IMG-20200926-WA0054.jpeg
 
Tulijaribu ila knapofika pakuhitaji network!
Kunakua hakuna update yoyote
 
Back
Top Bottom