Search results

  1. Namba 26

    Hakuna kitu rahisi kama kumtongoza demu mbaya

    Kumtongoza demu mbaya ni rahisi kinoma ani unampeleka unavyotaka hata akikataa unamcheka tu
  2. Namba 26

    Hatimaye nimeweza kupiga miluzi

    Mtoto mzuri
  3. Namba 26

    Hatimaye nimeweza kupiga miluzi

    Inaletaga raha sana pyeeeeeee pyeeeeeee
  4. Namba 26

    Hatimaye nimeweza kupiga miluzi

    nilikuwa naonaga wivu sana nikionaga watu waapiga miluzi kila nikijaribu siwezi mpo disco zinapigwa ngoma Kali unasikia wahuni wanapiga miluzi Pye pyeeeeeee mpaka raha ila nikirajibugi siwezagi ASA ivi naweza napiga miluzi balaa nimekuwa masta miluzi Wananikoma ngoma nikipata vibe ni mwendo wa...
  5. Namba 26

    Nilidanganywa kumbe chuo hamna mademu

    Chuo amna mademu
  6. Namba 26

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Nimemfollow Samia Hassan Suluhu Instagram
  7. Namba 26

    Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

    Imethibitishwa umepokea atapata ata kwa babake au mamake
  8. Namba 26

    Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

    Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi. Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu. Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna...
  9. Namba 26

    Wenye pesa huwaga hawalewi pombe

    Afu we demu nilikutongozaga ujue
  10. Namba 26

    Wenye pesa huwaga hawalewi pombe

    wanapendaga castle lite na serengeti lite
  11. Namba 26

    Wenye pesa huwaga hawalewi pombe

    Wenye pesa wanakulaga tungi balaa lakini hawalewagi utakuta mtu anakunywa bia hata kumi anaishia kutingisha miguu tu uku stori za apa na pale zikiendelea sasa njoo kwa wale choka mbaya akipiga bia mbili tu kero kwa wengine. Alafu wenye pesa wanarizikaga na bia wakipiga bia mbili uyo anaenda...
  12. Namba 26

    Kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ndio matokeo halisi

    Cheza mnapochezaga ila tambueni waliomaliza form four 2012 na form six 2013 na wakafaulu hao ndo vipanga ,imagine 60% ya wanafunzi waliomaliza form four 2012 walipata Zero ,34% walipata div four ,6% tu ndo waliofaulu div one -div three huku one zikiwa 1658 pekee mademu waliopata one hawakuzidi...
  13. Namba 26

    Hivi unaweza kumuoa rafiki yako?

    Nimeshaishi sana huko
  14. Namba 26

    Hivi unaweza kumuoa rafiki yako?

    Mimi sio marioo wala kibenteni
  15. Namba 26

    Hivi unaweza kumuoa rafiki yako?

    Kuwa muhuni classic utawapata sana
Back
Top Bottom