Search results

  1. sic2019

    Mpishi wa pizza, burger na cake anahitajika

    Tunatafuta Mpishi (mwanamke au mwanume) anayeweza kupika pizza, burger na cake za aina mbalimbali. Eneo ni kigamboni. Vigezo mpishi atapewa vifaa vya upishi lakini atajitegemea kwa vitu vilivyobaki na malipo ni makubaliano na Mwajiri. Tuma ujumbe kwenda 0762177935
  2. sic2019

    Wafanyakazi wa nyumbani wanahitajika

    Tunatafuta wafanyakazi wa nyumbani (kuishi kwa mwajiri) kwa ajili ya kazi maeneo mbalimbali hapa Dar na hata mikoani. Kazi ni kuangalia watoto, usafi na kupika. Vigezo ni lazima uwe unapenda watoto, msafi na mwaminifu. Mshahara unaanzia laki moja (100,000). Tuma ujumbe tu kwa namba ya simu...
  3. sic2019

    Comments zinazokera kwenye Uzi

    Habari wana JF wote kwa ujumla. Kama title inavyojieleza. Nimeona Leo nianzishe huu Uzi ili wenye hizi tabia waache kwa sababu naamini muda mwengine huwa inawakera baadhi ya waleta mada. mtu amejipinda kuandika siri zake humu ili apate msaada watu wengine wanaleta mzaha kwa comments zisizo...
  4. sic2019

    Kama na wewe hujui kabila lako, pitia hapa

    Habari zenu wadau wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Nilipokuwa shule, mara nyingi lilipokuja suala la kutaja kabila huwa nilikuwa napata tabu sana kwa sababu najua kabisa sijui kabila langu muda mwengine nataja tu lolote ili tu ile siku...
  5. sic2019

    Dagaa wa Zanzibar au wa nyama wanapatikana kwa bei nafuu

    Habari wana JF wote, Leo nimewaletea bidhaa bora kabisa kutoka pwani kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tunauza kwa jumla na rejareja pia kwa bei zifuatazo :- 1 kg @ Tsh 6800 jumla 1 kg @ Tsh 7500 reja reja - Kwa maelezo zaidi unaweza kututafuta kwa namba zifuatazo :- 0772835536 /...
  6. sic2019

    SOFTWARE Web Developer, nipo hapa kwa ajili yako

    Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima. Mimi ni graduate niliyemaliza Bsc Computer science , nime base kwenye web development baada ya kuona uwezo na mapenzi niliyonayo katika upande huo. Skills nilizonazo :- 1. Html, CSS 2. Javascript 3. PHP & laravel framework 4. Java 5. Python &...
  7. sic2019

    Jipatie mifuko ya kaki kwa mahitaji mbalimbali

    Salaam, tunatengeneza mifuko kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kama vile - Kuhifadhia bites za kwenye shughuli mbalimbali kama vile harusi, kitchen party nk - kuwekea bidhaa mbali mbali za madukani kama unga, mchele nk - pia tunatengeneza kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa za hardware kama vile...
  8. sic2019

    Ulikutana na changamoto zipi wakati unatafuta chumba au nyumba ya kupanga?

    WanaJF habari, Poleni kwa harakati za kutafuta chochote kitu ikiwa ni moja ya majukumu ya kila siku. Ndugu yenu nimeleta Uzi huu nataka niingie kwenye level ya kujitegemea na kumiliki gheto langu kwa hiyo nitafurahi sana mkinisaidia katika hili. Niende moja kwa moja kwenye point kama kichwa...
  9. sic2019

    Tunarekebisha flash, external, Memory card mbovu au zisizisoma

    Habari za muda ndugu zangu, natumaini wote ni wazima na Kama hauko sawa mungu akufanyie wepesi uweze kupona haraka ili uendelee na shughuli zako kama kawaida Niende moja kwa moja, kwa wale wote wenye flash, hard disk, external hard disk, memory card n.k isiyosoma kwenye computer yako karibu...
  10. sic2019

    Naomba kujuzwa kuhusu huu msemo

    Wakuu habari zenu, naomba kufahamishwa kuhusu msemo usemao "kata pua uunge wajihi" una maana gani katika maisha halisi. Ahsanteni
Back
Top Bottom