Tunarekebisha flash, external, Memory card mbovu au zisizisoma

sic2019

Senior Member
Oct 14, 2018
129
81
Habari za muda ndugu zangu, natumaini wote ni wazima na Kama hauko sawa mungu akufanyie wepesi uweze kupona haraka ili uendelee na shughuli zako kama kawaida

Niende moja kwa moja, kwa wale wote wenye flash, hard disk, external hard disk, memory card n.k isiyosoma kwenye computer yako karibu tukuhudumie hapa ndiyo mahala pake

Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo :-
Kurekebisha
1. Flash 5000 Tsh tu
2. Hard disk/ external 10000 Tsh tu
3. Memory card 3000 Tsh tu

Kwa maelezo zaidi ni PM
 
Mm naitaji unilekebishie memory card yang
 
Tunapatikana sehemu mbili mbagala Chamazi na kinondoni ila unaweza Sema sehemu ulipo tukufikishie Huduma, karibu!
Naomba namba yako nikija nikupigie au nikwambie uje nilipo nitagharamia nauli
 
Habari za muda ndugu zangu, natumaini wote ni wazima na Kama hauko sawa mungu akufanyie wepesi uweze kupona haraka ili uendelee na shughuli zako kama kawaida

Niende moja kwa moja, kwa wale wote wenye flash, hard disk, external hard disk, memory card n.k isiyosoma kwenye computer yako karibu tukuhudumie hapa ndiyo mahala pake

Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo :-
Kurekebisha
1. Flash 5000 Tsh tu
2. Hard disk/ external 10000 Tsh tu
3. Memory card 3000 Tsh tu

Kwa maelezo zaidi ni PM
Hyo bei kubwa kiongozi
 
nipo singidani Hdd 1tera inasoma ila inabeba files chache kama gb 90 tu then inafail ...Tunafanyaje
15770941029841507847224.jpg
 
Habari za muda ndugu zangu, natumaini wote ni wazima na Kama hauko sawa mungu akufanyie wepesi uweze kupona haraka ili uendelee na shughuli zako kama kawaida

Niende moja kwa moja, kwa wale wote wenye flash, hard disk, external hard disk, memory card n.k isiyosoma kwenye computer yako karibu tukuhudumie hapa ndiyo mahala pake

Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo :-
Kurekebisha
1. Flash 5000 Tsh tu
2. Hard disk/ external 10000 Tsh tu
3. Memory card 3000 Tsh tu

Kwa maelezo zaidi ni PM
 
Habari za muda ndugu zangu, natumaini wote ni wazima na Kama hauko sawa mungu akufanyie wepesi uweze kupona haraka ili uendelee na shughuli zako kama kawaida

Niende moja kwa moja, kwa wale wote wenye flash, hard disk, external hard disk, memory card n.k isiyosoma kwenye computer yako karibu tukuhudumie hapa ndiyo mahala pake

Bei zetu ni nafuu sana kama ifuatavyo :-
Kurekebisha
1. Flash 5000 Tsh tu
2. Hard disk/ external 10000 Tsh tu
3. Memory card 3000 Tsh tu

Kwa maelezo zaidi ni PM
Mkuu unapatikana wapi nikufuate unitengenezee frash yangu naomba mawasiliano yako
 
Back
Top Bottom