sic2019
Senior Member
- Oct 14, 2018
- 129
- 82
Salaam, tunatengeneza mifuko kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kama vile
- Kuhifadhia bites za kwenye shughuli mbalimbali kama vile harusi, kitchen party nk
- kuwekea bidhaa mbali mbali za madukani kama unga, mchele nk
- pia tunatengeneza kwa ajili ya kuhifadhia bidhaa za hardware kama vile misumari
Mifuko inayopatikana
1. Mifuko ya karatasi ngumu
- Kwa bei ya jumla
Mfuko wa size ya kilo moja (mifuko 50 kwa 4500 Tsh )
Mfuko wa size ya robo kilo ( mifuko 50 kwa 2500 Tsh )
2. Mifuko ya karatasi nyepesi
- kwa bei ya jumla
Mfuko wa size ya kilo moja (mifuko 50 kwa 3500 Tsh
Mfuko wa size ya robo kilo (mifuko 50 kwa 2000 Tsh
Tunapatikana mbagala rangi 3 tuma order yako sasa tutakufikishia popote ulipo
NB: pia tunatengeneza kwa size na quality utakayo ihitaji
Wote mnakaribishwa ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app