sic2019
Senior Member
- Oct 14, 2018
- 129
- 82
Tunatafuta wafanyakazi wa nyumbani (kuishi kwa mwajiri) kwa ajili ya kazi maeneo mbalimbali hapa Dar na hata mikoani. Kazi ni kuangalia watoto, usafi na kupika.
Vigezo ni lazima uwe unapenda watoto, msafi na mwaminifu. Mshahara unaanzia laki moja (100,000). Tuma ujumbe tu kwa namba ya simu 0762177935
Vigezo ni lazima uwe unapenda watoto, msafi na mwaminifu. Mshahara unaanzia laki moja (100,000). Tuma ujumbe tu kwa namba ya simu 0762177935