Search results

  1. K

    Chuo cha Ualimu Monduli wamaliza kozi maalumu ya Bridging bila wakufunzi kuwezeshwa

    napenda kuwapa pole wakufunzi wa chuo cha ualimu monduli kwa kazi kubwa walioifanya ya kufundisha kozi ya bridging kwa muda wa miezi mitatu bila kulipwa chochote. kozi kama kama hii kwa mujibu wa taarifa ni kuwa iliwahi kutolewa katika chuo hicho cha monduli na morogoro miaka ya nyuma na kwa...
  2. K

    NACTE kuweni macho na elimu ya nchi hii

    ni takribani mwezi mmoja na wiki kadhaa zimepita toka vyuo vya ualimu tanzania kuhama kutoka katika mtaala wa content based curriculum kwenda kwenye competence based curriculum, kwa mujibu wa baraza la taifa la elimu ya ufundi(NACTE) mtaala uliokuwepo ulikuwa hauwajengei walimu umahiri baada ya...
  3. K

    Uchaguzi wa serikali za mtaa

    Uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa muhimu sana hata kuzidi uchaguzi mkuu wa rais. ninasema haya kwa sababu viongozi wa serikali za mitaa ndio wanaohusika moja kwa moja katika maisha ya kila siku ya wananchi. kwa mfano mwenyekiti wa serikali ya mtaa ndiye anayehusika na kutatua matatizo ya...
  4. K

    Vipaumbele vya tanzania na kamati ya rais

    Ndugu wana jamvi taarifa zilizopo kwa sasa ni kuwa raiskuna baadhi ya watu wamejifungi mahali wakijadili vipaumbele sita ambavyo rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania aliviainisha ambavyo miongoni mwake ni kilimo, nishati, elimu na n.k Hivyo basi hawa watu wanafanya upembuzi yakinifu ya nini...
  5. K

    tahausi mpya kwa wale wanaoanza kidato cha tano 2013

    wizara ya elimu imeanzisha michepuo mipya katika shule za secondary hapa nchini moja ya michepuo hiyo ni CPA kwa kirefu ni chemistry, physics, na accountancy source mkurugenzi wa elimu secondary tanzania
  6. K

    changamoto kidato vha nne

    ni mara nyingine tena wdogo zetu wanakaa kwa ajili ya mtihani wao wa kidato cha nne changamoto ikiwa ni je matokeo ya kipindi hiki yatakuwaje je yataendelea kuwa kama yalivyokuwa mwaka jana ambapo shule yenye watu mia mbili kuna div one mbili division two mbili na division three tatu division...
  7. K

    Star TV mmethubutu

    Mjadala wa leo asubuhi star tv kuhusu mchango wa waandishi wa habari katika kuhakikisha kuwa utawala wa sheria na utawala bora vinazingatiwa umenikuna ilivyo. Nimeufuatilia sana mwanzo hadi mwisho, kama kweli wananchi tungekuwa tunasikiliza mijadala hii tusingesubiri hadi iseme. Leo ndo...
  8. K

    Mh. Mgimwa eleza ukweli acha mzaha

    Jamani wa Tz mmemsikia waziri wa fedha Mgimwa kuwa noti za aina mbili mpya na za zamani zitaendelea kutumika hadi hapo wananchi watakapotoa maoni yao kuwa wanataka zitumike noti za aina gani. Je, ni kweli walishawahi kupita kwa wananchi hata siku moja na kuuliza ni noti za namna gani wanataka...
  9. K

    selection out

    for those who applied for degree programs in different universities those who have been slected their names has been sent to respective universities if there is a person of whom u know please get contact with him or her to prove whether you have been selected or not
  10. K

    madaktari fikirieni tena kwa mara ya pili

    tambueni hapo mlipo mlifikishwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa tzn kwa nin sasa mnakiuka kiapo ambacho mliapa kabla ya kuanza kazi je ingekuwaje kama serikali isingewafadhili hamkujua kama mshahara wa madaktari ni kidogo hivi mnajua kuwa kuna watanzania ambao wakisikia kuwa mnadai kiasi...
  11. K

    Ni wananchi pekee

    Ninaomba nipewe ukweli kati ya rais jk waziri mkuu kayanza spika makinda naibu spika job ndugai na katibu wa bunge kashilila ni yupi kati yenu anayesema ukweli wananchi huku sisi tumebaki midomo wazi hatujui tufanye nini hadi sasa kwa mfano spika anasema ya kuwa posho walikwisha anza kujilipa...
  12. K

    Elimu ya Tanzania

    you don't need to read the statistics of the ministry of education and vocational training to understand why there is always poor performance in government schools each year and good performance in private schools most of them being religious schools the reasons to this observation rely on the...
  13. K

    tanzania election 2015

    whom do you think will going to be the president of Tanzania the year 2015, i think there is a need to give opportunity to opposition party to see if they are capable 0f taking us from where we are now, as it is obvious known to all of us that the current government has failed totally to...
  14. K

    work out

    5o years of independence still local residences of tanzania are still living under abject poverty there is no assuarence of permanent water and people are moving here and there around the streets looking for such service. likewise there is no assuarence of electricity but still the...
Back
Top Bottom