changamoto kidato vha nne

KALEBE

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
773
338
ni mara nyingine tena wdogo zetu wanakaa kwa ajili ya mtihani wao wa kidato cha nne changamoto ikiwa ni je matokeo ya kipindi hiki yatakuwaje je yataendelea kuwa kama yalivyokuwa mwaka jana ambapo shule yenye watu mia mbili kuna div one mbili division two mbili na division three tatu division four themanini and the remaining failure think is the gvt so serious on this golden opportunity au kwa kuwa watoto wao wapo kwenye shule za watawala
 
Back
Top Bottom