mkuu ahsante kwa taarifa,hebu nipatie hiyo source niitumie kidogo!wizara ya elimu imeanzisha michepuo mipya katika shule za secondary hapa nchini moja ya michepuo hiyo ni CPA kwa kirefu ni chemistry, physics, na accountancy source mkurugenzi wa elimu secondary tanzania
chemistry, physics, na accountancy haviendani kabisa
chemistry na physics vina relation gani na accountancy
nataka nikuulize swali la kizushi "kwani we na obama nani anaumuhimu"?
sio acountance ndugu ni agriculture PCA. Alafu kuna Cbm chem,bios and maths.