Search results

  1. Vitalis Konga

    Kila penye rushwa tuuze au tubinafsishe?

    Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi? 2 ...
  2. Vitalis Konga

    Hii hatari sana; Serikali haijaona Mwalimu hata mmoja kuwa balozi wa mazingira?

    Duh Mh Jaffo yaani kweli kabisa hujaona hata mwalimu mmoja nchi nzima kuwa balozi wa mazingira? Walimu hawahawa ndio wanawasimamia wanafunzi kupanda miti wakati wa mvua na mingine inapandwa through out of the year wanamwangilia. Mmegeuza walimu watu wa kusimamia uchaguzi tuu ipo siku kwa...
  3. Vitalis Konga

    202O Is Gone,God be with us 2021

    We are Together
  4. Vitalis Konga

    Mishahara ya walimu kutoka nchi kadhaa za Afrika

    Leo nimeona nikuletee hii hapa baada ya kukuta mabishano mara kadhaa kuhusu mishahara ya walimu katoka nchi kadhaa za Afrika.Kuanzia ngazi ya Chini kabisa hadi ya juu,yaani certificate na hadi anayepata juu zaidi.Vyanzo vya taarifa ni Salaryexplorer, UNESCO, Payroll Specialist na tafiti...
  5. Vitalis Konga

    Tanzania ya kijasusi

    Na.Vitalis Konga Kwa nchi za kiafrika, Ujasusi wa Kidola Tz ndio mwamuzi wa siasa za Afrika. Hil linatazamwa tangu vuguvugu la uhuru wa Afrika mpaka kunako Karne ya 21. Kwa lugha laini ni kuwa TISS ndio idara yenye nguvu Afrika katika medani ya Ujasusi wa Kidola. Kwa mujibu wa Takwamu za...
  6. Vitalis Konga

    Dkt. Bashiru: Ukishakuwa kiongozi hutakiwi kuwa na tamaa

    DK. BASHIRU: "UK ISHAKUWA KIONGOZI HUTAKIWI KUWA NA TAMAA" "Mimi sigombei na siwezi kugombea, nimeshakuwa Katibu Mkuu nagombea cheo gani?,cheo gani cha maana kuliko kazi hii ya kusimamia haki ktk Chama,ukishakuaa kiongozi hutakiwi kuwa na tamaa ndio ujumbe Mwenyekiti ametuambia,sio...
  7. Vitalis Konga

    Maandalizi ya kikao yanaendelea

    Wajumbe karibu sana Dodoma Vitalis Konga (Mwana Vasamwenda)
  8. Vitalis Konga

    Uchaguzi 2020 Nimemdhamini Baba la Baba

    Leo tarehe 19/06/2020, nikiwa imara kimwili, kiakili na kifikra nilipata wasaa maalumu wa kumdhamini mwombaji wa nafasi ya URAIS kupitia chama chetu #CCM Mh Dkt John Pombe Joseph Magufuli. Najisikia furaha sana kuwa miongoni mwa mwanachama wachache wa #CCM tuliopata fursa hii adhimu kutokea kwa...
  9. Vitalis Konga

    Hii ndio ndege ya Rais Wetu

    Na:Vitalis John Konga (Mwana Vasamwenda) Gulfstream G550 Jet hii ndio ndege inayotumiwa zaidi na Rais wa Tanzania Mh John Pombe Joseph Magufuli katika ziara mbali mbali ndani na nje ya nchi ingawa tunazo Dutch Fokker F-28 na Dutch Fokker F-50 ambazo anaweza kuzitumia pia. Ndege hii kwa majina...
  10. Vitalis Konga

    Hii ndio ndege ya Rais Wetu

    Na:Vitalis John Konga (Mwana Vasamwenda) Gulfstream G550 Jet hii ndio ndege inayotumiwa zaidi na Rais wa JMT Mh John Pombe Joseph Magufuli katika ziara mbali mbali ndani na nje ya nchi ingawa tunazo Dutch Fokker F-28 na Dutch Fokker F-50 ambazo anaweza kuzitumia pia.Ndege hii kwa majina ya...
  11. Vitalis Konga

    Taifa lenye hasira

    Waziri wa ulinzi wa Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula amesema mashambulizi dhidi ya raia wa kigeni nchini humo yamepangwa na kutekelezwa na magenge ya wahalifu hivyo serikali haiwezi kuzuia mashambulizi hayo kwa sababu taifa hilo kwa sasa liko katika hali ya hasira '' '' Ukweli ni kwamba...
  12. Vitalis Konga

    KWAHERI SIMBA WA AFRICA

    R. I. P Robert Gabriel Mugabe, Son Of Africa Vitalis Konga
  13. Vitalis Konga

    Vijana mwenzangu tunakumbushana kulipia ada ya uanachama

    REF:FB14431567686243 VITALIS KONGA JOHN umefanikiwa kulipia CCM PAYMENT INV:1513911 TZS1200 RECEIPT:RC-00006-26405 TAREHE:2019-09-05 15:24:03Vitalis Konga
  14. Vitalis Konga

    habari kuu tatu zinazokupa furaha moyoni

    1. Mahakama Kuu imebariki mbunge mteule wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu kuapishwa bungeni kesho Jumanne Septemba 3, 2019. 2. Ndege ya ATCL ya Air Tanzania iliyokuwa imeshikiliwa nchini Afrika Kusini imeachiliwa na Mahakama, ipo huru. 3. Jumatatu tarehe 02/09/20 Rais wa Jamhuri ya...
  15. Vitalis Konga

    Amini mipango yako

    ‪Mwamini Mungu kwa maisha yako. Amini mipango yake juu yako, maana yeye anajua zaidi. Lolote litakalokutokea, muachie Mungu, maana yeye anajua zaidi. Matumaini yako yote weka kwa Mungu, hutofeli; endelea na safari yako, maana Mungu wako anajua anapokupeleka. Kwa vyovyote vile endelea na...
  16. Vitalis Konga

    2020 CHADEMA Tutawakimiza mchakamchaka

    Utekelezaji wa ilani ya CCM 2015-2020 Unakwenda vizuri sana,Heshima kwako Rais wa JMT na Mwenyekiti wa Chama. Hata wagombea wengine wa vyama vya upinzani mjiandae kisaikolojia. "Twende na Magufuli 2020" IN MAGUFULI AND SHEIN WE TRUST
  17. Vitalis Konga

    Hii baridi noumaaa wapiii majotooo

    Hii baridi ya NJOMBE ni noumaa Ndio maana vijana wa NJOMBE wakienda kusoma ULAYA hususani nchi za SCANDINAVIAN (Denmark, Sweden, Norway na Finland) wala hawapati shida wanakuwa wameshazoea hali ya hewa. Vitalis Konga
  18. Vitalis Konga

    Kwanini CHADEMA hawana mpango wa kujenga ofisi(ofisi kuu)

    Habari wana nzengo wenzangu Hivi ni kwanini hawa jamaa hawana mpango wa kujenga ofisi (ofisi kuu)wanaishia kupanga pale ofipani kinondoni? Uzi tayari
  19. Vitalis Konga

    Tanzania ya kijasusi

    Na.Vitalis Konga Kwa Afrika, Ujasusi wa "Kidola", Tanzania ndio mwamuzi wa siasa za Afrika. Hil linatazamwa tangu vuguvugu la uhuru wa Afrika mpaka kunako Karne ya 21. Kwa lugha laini ni kuwa TISS ndio idara yenye nguvu Afrika katika medani ya Ujasusi wa Kidola. Kwa mujibu wa Takwamu za...
Back
Top Bottom