Hii hatari sana; Serikali haijaona Mwalimu hata mmoja kuwa balozi wa mazingira?

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
114
250
Duh

Mh Jaffo yaani kweli kabisa hujaona hata mwalimu mmoja nchi nzima kuwa balozi wa mazingira?

Walimu hawahawa ndio wanawasimamia wanafunzi kupanda miti wakati wa mvua na mingine inapandwa through out of the year wanamwangilia.

Mmegeuza walimu watu wa kusimamia uchaguzi tuu ipo siku kwa umoja wao watapindua meza.

We rise by lifting others

Anyway
R.I.P
Mwalimu J.K.Nyerere

Vitalis Konga (Mwana Vasamwenda)
IMG_20210524_192720_980.jpg
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
4,046
2,000
Shikamoo mwalimu, nikukosoe kidogo.
Hatusemi "through out of the year" bali tunasema "throughout the year". Mwalimu mwenzako alinifundisha hivi.

Kuhusu kusimamia uchaguzi, huwa mnataka wenyewe tena mnakimbilia hizo nafasi kupeana mapande kwa kujuana mara nyingine. Hakuna anayewashikia bunduki kuwa ni lazima msimamie ni marupurupu huwapeleka uko. Si huwa mnaandika maombi au sivyo?

Hilo la balozi wa mazingira unahisi kwa nini awe mwalimu, ili uwe balozi yafaa uwe popular au celebrity. Alafu hii nchi walimu mbona wanachukua nyadhifa kubwa. Marais wawili waliwahi kuwa walimu.

Naona kama vile umevaa sare ya CCM, ina wenyewe hiyo.
 

Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
815
1,000
Mnamuonea jaffo bure, harmonize au nandy tweet yake moja inafikia mamilioni ya watanzania ndani ya dkk, mwalimu wa primary huko nanjinji atafikia au kuhamasisha watu wangapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom