Dkt. Bashiru: Ukishakuwa kiongozi hutakiwi kuwa na tamaa

Vitalis Konga

Senior Member
Sep 22, 2018
127
231
DK. BASHIRU: "UK ISHAKUWA KIONGOZI HUTAKIWI KUWA NA TAMAA"

"Mimi sigombei na siwezi kugombea, nimeshakuwa Katibu Mkuu nagombea cheo gani?,cheo gani cha maana kuliko kazi hii ya kusimamia haki ktk Chama,ukishakuaa kiongozi hutakiwi kuwa na tamaa ndio ujumbe Mwenyekiti ametuambia,sio unatangatanga tu"- Dk. Bashiru Ally- Katibu Mkuu wa CCM

In Magufuli We Trust
T2020JPM

Vitalis Konga
FB_IMG_1595137592655.jpg
 
D
Shida inakuja wanaposhindwa kutaja jina la "makonda" na wao wanabaki wanatangatanga tu, najiuliza huyu jamaa hasa wanachomuogopea ni nini???

Let's meet at the top, cheers 🥂
Dogo anatisha! na anavyojua fitna yule ubunge anaukwaa, hao sijui kina bashiru na pole pole wake waweke akiba ya maneno.
 
Kusema ukweli makonda alikuwa na nguvu akiwa ndani ya serkali na sasa amejiweka kwenye 18 za kichama yupo chini zaidi sio tu akiwa mgombea hata akiwa mbunge Dk Bashiru yupo juu sana kimfumo wa chama
 
Makonda,Mnyeti wote hao ubunge lazima wapewe.

Mnatumia ile'by the way of deception' kuwapoteza maboya wasioelewa michezo yenu mnayocheza.
 
Ajabu sana! Kuna wakati najiuliza ni kete gani muhimu huyu jamaa ameishika mpaka kuwatia hofu hata waliomzidi?

Anyways, kule kigamboni haina ubishi haendi kushiriki bali anakwenda kuchukua jimbo lile.

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Kifungu cha katiba kina sema kila mtu anayo haki ya kuchagiliwa na kuchagua

Makonda yupo sahihi na mm pia nimechukua fomu Morogoro mjini naamini nitapita na Makonda atapita watu wasio jua siasa ndio wanadhani Makonda amekurupuka

Niwakumbushe tu Makonda ni yule yule wa vyeti mliyepiga kelele atolewe na hakutolewa

Sasa msijisahaulishe mseme eti hajatumwa kigamboni

Huko ndiko Naibu wa waziri alitumbuliwa ili Makonda aende kusoma hamjui hata picha hatuoni
 
Simpendi Makonda na Mnyeti wake pamoja na Gambo, nafurahi pia wametenguliwa nafasi zao LAKINI ni haki yao kugombea na wametumikia miaka takribani mitano.

Shida iko wapi wakitafuta kazi nyingine. Ni wazi kuna tofauti ya kazi ya kuteuliwa na ile ya kuchaguliwa. Kama Bashiru ameridhika na hapo alipo, hiyo haiwaondolei hao wengine hamu ya kuingia kwenye siasa za kuchaguliwa.

Nafikiri mwana siasa yeyote ndoto yake ni kufika huko. Na ndio njia inayotumika na wengi duniani kidemokrasia.

CCM ina watu wengi wanaoweza kupewa hizo nafasi zilizo achwa, hao wengine acha wacheze kamari kuna kupata na kukosa. Kuwananga haisaidii. JK alisema "la kuambiwa changanya na za kwako". Wasi wasi wangu ni mwenyekiti asije tumia rungu lake kuwa adabisha kwa kuwa tu wameamua vinginevyo.
 
Shida inakuja wanaposhindwa kutaja jina la "makonda" na wao wanabaki wanatangatanga tu, najiuliza huyu jamaa hasa wanachomuogopea ni nini???

Let's meet at the top, cheers 🥂
😁😁😁😁😁
mkuu, haya mambo yanatafakarisha kidogo.........vijembe na mafumbo yamekuwa mengi. na kama ni kweli uyasemayo basi huyo kijana si mtu wa mchezo na kuna uwezekano mkubwa akaja kibabe kabisa kuwa hata waziri!
 
Mambo ya kuridhika/kuridhishana ni ya kitandani tu huko kwny kupigana miti,ika mambo mengine ya kimaisha hakuna kuridhika.
Makonda,Mnyeti wote hao ubunge lazima wapewe.

Mnatumia ile'by the way of deception' kuwapoteza maboya wasioelewa michezo yenu mnayocheza.
Mkuu siku hizi umekuwa 'bitter' what has happened to you?
 
😁😁😁😁😁
mkuu, haya mambo yanatafakarisha kidogo.........vijembe na mafumbo yamekuwa mengi. na kama ni kweli uyasemayo basi huyo kijana si mtu wa mchezo na kuna uwezekano mkubwa akaja kibabe kabisa kuwa hata waziri!
Kuna karata nyeti na muhimu sana ameishika bwana yule, si rahisi wakubwa zake wamuhofie namna ile, kuna namna tu.

Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Hivi Hao anaowasema wakitisua hyo katibu anasemaje au atabadili Gia angani

Ova
 
Kusema ukweli makonda alikuwa na nguvu akiwa ndani ya serkali na sasa amejiweka kwenye 18 za kichama yupo chini zaidi sio tu akiwa mgombea hata akiwa mbunge Dk Bashiru yupo juu sana kimfumo wa chama
Huwezi jua mipango yake, kwanza sijui kama amekurupuka kwa maamuzi yake
Ngoja tuone

Ova
 
Shida inakuja wanaposhindwa kutaja jina la "makonda" na wao wanabaki wanatangatanga tu, najiuliza huyu jamaa hasa wanachomuogopea ni nini???

Let's meet at the top, cheers
A protected. killer and he is above the law !!!! Even USA knows this
 
Kifungu cha katiba kina sema kila mtu anayo haki ya kuchagiliwa na kuchagua
Makonda yupo sahihi na mm pia nimechukua fomu Morogoro mjini naamini nitapita na Makonda atapita watu wasio jua siasa ndio wanadhani Makonda amekurupuka
Niwakumbushe tu Makonda ni yule yule wa vyeti mliyepiga kelele atolewe na hakutolewa
Sasa msijisahaulishe mseme eti hajatumwa kigamboni
Huko ndiko Naibu wa waziri alitumbuliwa ili Makonda aende kusoma hamjui hata picha hatuoni
Hupati ila bashite atapata
 
Back
Top Bottom