Search results

  1. mohoniajoseph1

    Anaandika Mwl. Asiyekuwa na Darasa wala Shule

    NATUMIA SIKU HII YA MAADHIMISHO YA WALIMU, KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WENZANGU NA SERIKALI. Usichoke kusoma!! Soma, Soma, Soma ujumbe wangu Mimi Mwalimu nisiye na Darasa la kufundisha, Vyeti vyangu vya Kuhitimu Chuo Kikuu vimekoswa kazi kwenye begi!! Mimi ni Kijana wa Kitanzania, ambaye...
  2. mohoniajoseph1

    Mchakato wa katiba mpya unakwamishwa na CCM miaka yote

    Habari wanajukwaa!! Naona kuna vuguvugu (fukuto) la aina yake hapa Nchini la Madai ya KATIBA MPYA likiongozwa zaidi na kundi la Chama cha Siasa (CHADEMA). Mimi pia ni muumini wa kuunga mkono upatikanaji wa KATIBA MPYA na iliyo Bora. Madai ya KATIBA MPYA katika Taifa la Tanzania ni madai ya...
  3. mohoniajoseph1

    Huu ni muda sahihi wa viongozi wetu wa kisiasa kutuongoza kudai Katiba Mpya

    Mchakato wa Katiba Mpya sote tunafahamu ulivyoenda na ulivyoharibiwa na "wahuni" wachache wasiolipenda Taifa letu la Tanzania. Kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020) suala la Katiba Mpya limepuuzwa kabisa na aliyekuwa Rais wa wakti huo. Viongozi wetu wa kisiasa walijaribu kulipenyeza lakini...
  4. mohoniajoseph1

    Uchaguzi 2020 John Heche achukua fomu ya kuwania Ubunge Tarime Vijijini

    Leo tarehe 15/08/2020 Mheshimiwa John Heche Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini anaemaliza muda wake, amechukuwa fomu ili kulitetea tena Jimbo hilo. Binafsi naona kama huyu ndiye Mbunge wa Upinzani mwenye nafasi kubwa ya kurudi tena Bungeni kwa jinsi anavyokubalika kwa Wananchi wake.
  5. mohoniajoseph1

    Ushuhuda wa Mzee Sasi alivyosaidiwa na Mheshimiwa Tundu Lissu kisheria.

    Maneno haya yamenitoa machozi... _________________________ Niwaambie nini kuhusu TUNDU LISSU?? Sina LA kusema. Kwa kifupi nilifungwa jela MIAKA 30 na viboko 12. Nikiwa kada wa CCM na mjumbe wa mkutano Mkuu wa CCM (taifa). Kosa langu ni kusema kwamba watu tunaozunguka mgodi wa North Mara tuingie...
  6. mohoniajoseph1

    Tusaidiane kuwasemea askari magereza

    Mhe. Esther Matiko (MB) amekuwa kiungo mzuri sana katika kuwasemea Askari Polisi na hasa askari wa Magereza kabla na baada ya kwenda gerezani Segerea. Baada kwenda Gerezani kuna mambo mengi aliyabaini tofauti na yale aliyokuwa nayo awali. MAY 24, 2019 aliuliza maswali kwa Waziri Mkuu juu ya...
  7. mohoniajoseph1

    RC Adam Malima ashauriwe aachane na ubabe unaowaumiza wananchi

    JINSI MGOGORO WA RC ADAM MALIMA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME UNAVYOWAUMIZA WANANCHI WANYONGE KIMAENDELEO. Tangu kumetokea kashfa ya kile kinachoitwa "wizi" wa fedha za mgodi wa Nyamongo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara ndg. Adam Malima, Mimi kwakuwa...
  8. mohoniajoseph1

    Mkuu wa mkoa Mara ashauriwe kuhusu huu mgogoro ili asiwatese wananchi

    JINSI MGOGORO WA RC ADAM MALIMA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA TARIME UNAVYOWAUMIZA WANANCHI WANYONGE KIMAENDELEO. Tangu kumetokea kashfa ya kile kinachoitwa "wizi" wa fedha za mgodi wa Nyamongo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mara ndg. Adam Malima, Mimi kwakuwa...
  9. mohoniajoseph1

    Ufisadi wa jeshi la polisi na kauli zao

    Askari wetu msikariri tu kuwavunja miguu wafuasi wa CHADEMA na ACT - WAZALENZO Jeshi la Polisi msikubali tu kutumika na Chama cha Mapinduzi kwa kupewa maagizo ya kuwakamata wapinzani wa CCM. Jeshi la Polisi msiwe watu wa kutishia Wananchi wanaohitaji kutimiza haki yao ya kikatiba ya kufanya...
  10. mohoniajoseph1

    RC Mara avuruga wananchi Nyamongo

    MKUU WA MKOA WA MARA ANAVUNJA SHERIA HII KWA MAAGIZO YA NANI? Utulivu wa wakazi wa Mji wa Nyamongo Wilayani Tarime uliodumu kwa takribani miaka mitano sasa, unaanza kuvurugwa tena na Mkuu wa Mkoa wa Mara Ndg. Adam Malima. (Tafadhali soma mpaka mwisho) Mwaka 2017 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  11. mohoniajoseph1

    RC Mara anaibua upya mgogoro wa Nyamongo

    MKUU WA MKOA WA MARA ANAVUNJA SHERIA HII KWA MAAGIZO YA NANI? Utulivu wa wakazi wa Mji wa Nyamongo Wilayani Tarime uliodumu kwa takribani miaka mitano sasa, unaanza kuvurugwa tena na Mkuu wa Mkoa wa Mara Ndg. Adam Malima. (Tafadhali soma mpaka mwisho) Mwaka 2017 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  12. mohoniajoseph1

    RC Adam Malima anawavuruga watu wa Nyamongo

    MKUU WA MKOA WA MARA ANAVUNJA SHERIA HII KWA MAAGIZO YA NANI? Utulivu wa wakazi wa Mji wa Nyamongo Wilayani Tarime uliodumu kwa takribani miaka mitano sasa, unaanza kuvurugwa tena na Mkuu wa Mkoa wa Mara Ndg. Adam Malima. (Tafadhali soma mpaka mwisho) Mwaka 2017 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  13. mohoniajoseph1

    Mkurugenzi wa Halmshauri ya wilaya ya Butiama anamhujumu mwenyekiti wa kijiji cha Sirorisimba

    HUJUMA ZA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUTIAMA DHIDI YA JITIHADA ZA VIONGOZI NA WANANCHI WA KIJIJI CHA SIRORISIMBA. (Soma kwa umakini). Mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya BUTIAMA amelalamikiwa na viongozi wa kijiji cha SiroriSimba kilichopo kata ya Sirorisimba pamoja na wananchi kwa hujuma...
Back
Top Bottom