Ushuhuda wa Mzee Sasi alivyosaidiwa na Mheshimiwa Tundu Lissu kisheria.

Jul 23, 2018
46
66
Maneno haya yamenitoa machozi...
_________________________
Niwaambie nini kuhusu TUNDU LISSU?? Sina LA kusema. Kwa kifupi nilifungwa jela MIAKA 30 na viboko 12. Nikiwa kada wa CCM na mjumbe wa mkutano Mkuu wa CCM (taifa). Kosa langu ni kusema kwamba watu tunaozunguka mgodi wa North Mara tuingie ubiya na kampuni ya uwekezaji (ili nasi tunufaike na mgodi badala ya mwekezaji kuchukua faida yote peke yake). Nilikuwa Mwenyekiti wa kijiji cha Kewanja, na mwanajeshi mstaafu wa JWTZ.

Lakini Rais Benjamin Mkapa akatoa amri kuwa nikamatwe (kwa kosa la kuwaombea wananchi wa Nyamongo wapate ubiya kwenye madini yao). Mkapa akasema huyo anayefundisha serikali namna ya kufanya kazi ashughulikiwe. Nikafungwa miaka 30. Familia yangu haikuwa na uwezo wa kuja mahakami ila TUNDULISSU akajitolea kuwa wakili wangu bila kumpa hata senti moja. Akakata rufaa kupinga hukumu ya miaka 30 niliyopewa. Akanitetea, nikashinda kesi. LISSU KWANGU NI ZAIDI YA MTETEZI.
_______________________
Mzee Augustino Nestory Sassi,
Mkazi wa Nyamongo,
Mwenyektliti wa kijiji cha Kewanja 1982-2001,
 
Mzee Augustine Nestory Sassi,unakumbuka huyu anayejiita mtetezi wa Wanyonge na rasilimali za Tanzania wakati huo wewe unafungwa yeye alikuwa wapi?
 
Mimi nakumbuka kwamba huyu mtetezi wa wanyonge na mgawa hela mabarabarani, alikuwa bungeni akigonga meza na kuitikia Ndiyoooooooooooooo!!!
 
Back
Top Bottom