Search results

  1. kuku mweus

    Chuo Kikuu cha Iringa na vitendo vya lecturers wa sheria

    Habari Wana bodi leo nimesikitishwa Sana na vitendo vinavyoendelea vya hovyo hapa chuoni na vinafanywa na walimu wa sheria bila Dean of Faculty kukemea Wala kuzuia. Watu tumepewa likizo na chuo mwalimu anatoa assignment tukiwa nyumban je anao uhakika gani kuwa kila mtu akiwa nyumban anapata...
  2. kuku mweus

    Naomba kujua shule nzuri ya Wasichana ya A level kwa mikoa ya Mbeya, Iringa, Moshi na Arusha

    Wakubwa heshima yenu napenda mwenye kuijua shule nzuri ya wasichana inayopatikana mikoa ya Iringa Mbeya Arusha na Kilimanjaro naomba anielekeze iwe ya michepuo yote. Pia iwe Ina milikiwa na kanisa katoliki hasa Masista. Msaada wenu wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kuku mweus

    Nimekosa mademu kwa sababu ya hili swali

    Wakuu habari nimezoea kula mara na kila siku nilikuwa nikitongoza wanafunzi nachukua geto mapema tu ila sasa hivi nimepata kimbembe kweli kula msichana hasa Hawa ambao siyo wanafunzi nikiwatongoza wananiambia wana wapenzi Nisaidieni maana nikishaambiwa hilo neno nakosa cha kuendelezea. Nifanye...
  4. kuku mweus

    Msaada maombi ya mikopo kwa wanaoendelea na masomo chuo kikuu

    Wakuu habar poleni na majukumu na kazi napenda kuomba mwenye anajua namna wanavyo omba mikopo kwa wanafunzi wanaoendeleea na masomo vyuoni naomba anielekeze maana hapa hata sielewi nafanya nini na nini ili nimalize naanza kujaza upya ama nafanya vipi Nisaidieni wakuu
  5. kuku mweus

    Msaada wa shule ya A Level mikoa ya Mwanza, Arusha, Mbeya na Kilimanjaro

    Wakuu habari, Ninae mdogo wangu kamaliza form 4 kafaulu kiasi, Serekali imemchagua akasomee ualimu Ila mi napenda aende A level michepuo ya PCB au CBG. Naomba mwenye anajua shule za private za bei ya wastani katika mikoa ya Mbeya, Iringa Mwanza, Arusha na Kilimanjaro msaada wenu wakuu
  6. kuku mweus

    Katika hali ya kushangaza mgambo Hawa wamempiga mwanafunzi pasipo kujali swala la afya

    Katika hali ya kushangaza mgambo Hawa wamempiga mwanafunzi pasipo kujali swala la afya je wanayo mamlaka ya kutoa adhabu hizi hata kama mtu kakosea tujiulize Abdul Nondo saidia hili
  7. kuku mweus

    Maskini stars ndo bhas tena

    TAIFA STARS YAPOKONYWA USHINDI DHIDI YA UGANDA NA KUKOSA NAFASI YA AFCON CAIRO MISRI Timu ya soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepokonywa ushindi dhidi ya Uganda katika mechi yao ya mwisho ya kufuzu Mataifa ya Afrika baada ya kugundulika hujuma katika mechi hiyo. Habari nyeti...
  8. kuku mweus

    Yanga mnatia taifa aibu nie si wakufanya hivi

    Habar wana Jf mimi huwa si mdau Wa kuandika humu ila kwa hili ngoja niseme Leo nikiwa katika pita pita zangu huku mkoani Iringa ghafla nakutana na Gari ya timu ya Yanga inaelekea maeneo ninayo ishi nikajiuliza Nini tatizo Bahat nzuri nikaona walipofikia duuuu ama kwel njaa ni mbaya Yanga...
  9. kuku mweus

    Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

    Kabla ya yote niwaombe mods wasiunganishe Uzi huu pia nieleze ukwel cjawahi kuandika bandiko lolote humu jf zaidi ya kusoma Riwaya kule entertainment pia habari za michezo Niende kwenye mada juzi nimempata mdada mzuri tu nikamtongoza Bahat ikawa upande wangu akanikubalia bhas Jana usiku kaja...
  10. kuku mweus

    Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

    ```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE* Habari ziwafikie popote mlipo........ Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia...
  11. kuku mweus

    Msaada TCU waendelea kunitesa

    Wakuu nilibahatika kuomba vyuo vitatu ila mungu kasaidia jina langu limekuja kwenye multiple nimepata Iringa university pamoja na SAUT mwanza Ila cha kushangaza mpaka Leo tarehe 6 cjapata confirmation code nikipiga cm TCU hawapokei vyuo husika wanasema niwasiliane na TCU msaada ndugu zangu hata...
Back
Top Bottom