Nimeumia sana rohoni mwangu nipeni msaada Wa mawazo pia nifanyeje

kuku mweus

JF-Expert Member
May 24, 2018
767
602
Kabla ya yote niwaombe mods wasiunganishe Uzi huu pia nieleze ukwel cjawahi kuandika bandiko lolote humu jf zaidi ya kusoma Riwaya kule entertainment pia habari za michezo
Niende kwenye mada juzi nimempata mdada mzuri tu nikamtongoza Bahat ikawa upande wangu akanikubalia bhas Jana usiku kaja ghetoni kwangu kwel tumefanya romance ikafika mda Wa mm kufanya shughuli kwel nimeingia sijamaliza hata dakika 2 nikamwaga cha ajabu zaidi nimejitahid kufanya kila njia isimame tena imegoma kabisa imekuja kupata uhai saa 10 asubuhi napo nilivyo jaribu kufanya matokeo yale Yale
Tafadhalini nipeni msaada nimesononeka sana Sina Amani ya moyo Nini kinaweza kuwa tatizo na nifanye Nini madaktari nisaidieni please
Kejeli siyo mzuri ni hayo tu wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kuku mweus itakuwa ulikuwa stressed, uchovu au mtoto ni mzuri mpaka ukawa huamini kama kweli hiyo bahati imekudondokea,
btw, tuliza akili kwanza ukiendelea kusononeka ndo hutosogeza kitu wanasema hiyo hali huwa inatokea.!!
Daaaaaaa aise make toka alivyo ondoka sijafanya chochote nipo kitandani toka asubuhi nawaza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom