Kuna mahali nakubaliana na wewe ila kuna mahali ukweli usemwe
Mm pia nilifanya huo mtihani nikiwa kituo kimoja nilliona kuna mtu alikuwa ameitwa kwenye tax management officer amesoma public administration (entrepreneurship) kama sikosei Ila tangazo lilitaka mtu awe na accounting/ finance jamaa...
wale wanufaika wa wizi wa mitihani hongereni, endeleeni kuiba mno aisee. yaan watu waniba mtihani halafu huoni athari eti na wewe uko ofisini. wezi wakubwa nyie
Suala la ajira imeshakuwa tatizo hii nchi yaan kila mahali ni rushwa, sasa sijui wanyonge kama watapona. kama hawatarudia hii pepa sitakaa nikafanye hii mitihani tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.