Search results

  1. K

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Mpigie simu toa dukuduku lako au mtumie sms then kata mawasiliano nae, watu ni washenzi saana
  2. K

    Kama Jeshi la Israel (IDF ) limeweza Kugundua Handaki la Siri la muda mrefu la Hamas, vipi kwa Fremu za TZWJ Kawe kwa baadae?

    Sina taaluma yoyote ya usalama lakini zile fremu mimi zilinifikirisha saana. Labda wanajeshi kwa uzoefu na kutembea nchi nyingine wanaona sio shida, kama raia kuzunguka sehemu nyeti sio tatizo kwanini wasizunguke na ikulu
  3. K

    Mwanaume simama kiume, haijalishi mkeo kakuzidi kila kitu usiachie nafasi yako kama mume

    Haijalishi mkeo kakuzidi umri, kipato au elimu usikubali mwanamke akuendeshe, usikubali dharau kutoka kwa mtu ambae unamvua nguo huo ni ubwege Mwanaume uwe na principle zako kama hawezi kuzifuata Bora uachane nae aende kwa hao wanaume anaoona ni bora kuliko wewe. Lakini kumnyenyekea mwanamke...
  4. K

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani afika eneo la ajali ya Treni na Basi iliyoua watu 13, Novemba 29, 2023

    Dereva wa bus kugonga train serikali hapo imezembea Kwenye nini
  5. K

    Nimemsamehe Hayati Magufuli

    Nakudai kaka kitabu cha lowassa na kikwete
  6. K

    Nimemsamehe Hayati Magufuli

    Mungu muumba ailaze roho yake mahali pema na apewe uongozi wa malaika kama alivyoomba. Yes Mimi ni miongoni mwa wa Tanzania walioumizwa saana na kushambuliwa kwa Tundu Lissu na kumshutumu Magufuli kua alihusika na unyama ule. Nilimchukia John kwa jinsi alivyoendesha siasa dhidi ya wapinzani...
  7. K

    Hata kama mkeo na watoto unawapenda usisafiri nao kwenye gari moja; wahenga waliishi muda mrefu kwa kukwepa haya

    Nimeipita hyo ajali jana mbwewe alooo sikieni tu ajali, ni janga kwa familia
  8. K

    Kipi hautaweza kufanya katika ulimwengu wa mapenzi?

    Kuna visu wew km yule mwanamke anayemdai dk mwaka talaka akiwa mke wa mtu akikutunuku utakataa
  9. K

    Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Ni vitu vidogo saana,roho mbaya tu yaan unaish na watu kwako wasifungue fridge Wala kuwasha tv huo ni ushamba
  10. K

    Namheshimu sana mwenyekiti Mbowe lakini kwa hili aombe radhi

    Kati ya wanasiasa wa upinzani ninaowaheshimu mbowe ni namba moja ni mtu muungwana kwa kiasi chake Lakini kwenye hoja ya bandari kusema Samia na Mbarawa wanauza bandari kisa ni wanzazibar hapa kakosea namwomba achutame mtani wangu Awamu ya tatu ya serikali ya nchi hii ndio inasemekana imeuza...
  11. K

    Leo nimejua kwanini Hayati Magufuli alipendwa na watu masikini

    Mama kaliadress kimfumo which is good lkn jpm angejitaftia sifa kwa kumpa yule dada chochot
  12. K

    Leo nimejua kwanini Hayati Magufuli alipendwa na watu masikini

    Sijawahi kua muumini wa John Magufuli hata siku moja na siwezi kua, lakini leo kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya dawa za kulevya nimeona kwanini magufuli alitumia matatizo ya watu kujijenga kisiasa, Mosi kuna dada alikua anasimulia kisa cha namna alivyoingia kwenye uvutaji wa dawa za...
  13. K

    Tuliofiwa na wazazi tukiwa wadogo njooni tuyajenge

    Oooh ukikaa nao karibu shida ukaa nao mbali pia shida wakiona huna kitu wanakuchek ukipata wanakasirik ni wachawi sema tunguli tu ndo hawana
  14. K

    Tuliofiwa na wazazi tukiwa wadogo njooni tuyajenge

    Aloooooo! Asikwambie mtu kufiwa na wazazi au mzazi ukiwa bado mtoto kibongo bongo ni janga vita ya kagera inasubiri acheni nyie Mimi alifariki mzee nikiwa na miaka 10 apo ni first born, kwa kijijin kwenye ukoo mzee ndie aliekua na nafuu ya maisha kuliko wengine wote kwa miaka ile ya 90s Baada...
  15. K

    Tuliofiwa na wazazi tukiwa wadogo njooni tuyajenge

    Aloooooo! Asikwambie mtu kufiwa na wazazi au mzazi ukiwa bado mtoto kibongo bongo ni janga vita ya kagera inasubiri acheni nyie Mimi alifariki mzee nikiwa na miaka 10 apo ni first born, kwa kijijin kwenye ukoo mzee ndie aliekua na nafuu ya maisha kuliko wengine wote kwa miaka ile ya 90s Baada...
  16. K

    Hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anaweza kuonesha chochote cha kujivunia kwa kipindi ana mamlaka haya? Anayekiona atuoneshe!

    Punguza wivu, husda, roho mbaya, uchoyo ni stress zinakufnya utukane watu ovyo kosa la mtoa mada ni nn kauliza mjibu,
  17. K

    Dkt. Slaa hata azungumze nini sitakaa nimsikilize au kumuamini

    Hata Kama angesema mkataba no halali na mzuri nicngemwamin bdo amekosa uhalali kwangu kwenye Mambo ya siasa
  18. K

    Dkt. Slaa hata azungumze nini sitakaa nimsikilize au kumuamini

    Mzalendo zaid ya nyerere na sokoine bdo cjamwona Hawa wengine no chumia tumbo bro
Back
Top Bottom