Search results

  1. J

    Msukuma: Kampeni ya Makonda ni ishara ya kukosa kazi ya kufanya

    Makonda hafai kabisa kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ile.
  2. J

    Kidiplomasia Tanzania tumeanguka sana!

    Ulitaka aonane na nani ndo ufurahi kuwa hatujaanguka?
  3. J

    NBA 2017/2018 Season Special Thread

    Phila is legit!
  4. J

    Viatu aina ya American boots origional vinapatikana wapi?

    American Boots? Ni mabuti kweli au hilo ni jina la brand?
  5. J

    Waziri Kabudi na uongo wake mpya: “Vyombo vya Usalama havina order ya ku shoot on site”

    Hahahaaaa daaah! Si alipataga festi klasi huyo....
  6. J

    Kutokwa jasho wakati wa kufanya mapenzi ni tatizo?

    Sasa kama uko kwenye kiuno cha mtu unategemea nini? Lile nalo ni zoezi.
  7. J

    Nilichogundua kuhusu Wanawake wa Mombasa...

    Kwa hiyo wanawake wa Mombasa wote wako hivyo? Wowzers!!
  8. J

    Heartsick Boy Asks If Atheist Dad Is In Heaven. Pope Francis Reveals The Answer With A Hug.

    Umeelewa kweli alichokisema Papa Francis hapo? Huyu Papa ana track record flani hivi ambayo Kiranga anaielewa....
  9. J

    Kwa warembo mjifunze aina ya wanaume kabla ya kuanza kulalamika

    Dah! Nipo type 2? Naona kama umenipendelea vile. Maana mimi li Nyani Ngabu likatili kweli. Ila kwa ma anko zangu I’m the sweetest uncle ever hahahahaaaa.
  10. J

    Kwa warembo mjifunze aina ya wanaume kabla ya kuanza kulalamika

    Gotdamnit! Mimi sipo kabisa katika hizo mbili! Ni wa kipekee haswa!
  11. J

    Gari yangu inawaka vitaa hivi. Msaada plis

    Naona ‘check engine’ light imewaka. Peleka wakaifanyie diagnosis. Yaweza kuwa ni tatizo la transmission, au yaweza kuwa hukutunga vizuri mfuniko wa mafuta.
Back
Top Bottom