SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,803
- 1,863
Abdularman Babu aliondoka huko Tanzania mwaka 1978 baada ya kukaa kizuizini kwa miaka kam sita. Alipoachiliwa, akaenda kuishi London.
Mnaokumbuka, ile miaka ya 1980, ulikuwa ukinunua gazeti la AFRICA NOW lazima utakutana na makala za kusisimua za akina Baffour Ankomah na hatimaye Abdularman Babu.
Hivyo, wanachofanya Mange Kimambi, Ansbert Ngurumo na Evaristo Chahali hakijaanza leo na hakitaisha leo.
Babu alirejea huko Tanzania mwaka 1995 baada ya kuanzishwa vyama vingi.
Jadili.