Search results

  1. Mnanje Boy

    Natafuta gesti za 5,000 Mbeya

    Nenda pale Mtaa wa Rungwe Music opposite na Soko la Sido ulizia Guest ya Pajero then lipia 5000 yako
  2. Mnanje Boy

    Ukipata limama likomoe chanzo cha vijana wengi kuteketea

    Mimi naona shida ipo kwa kina mama au Mashangazi kwa sababu 1. Nivigumu kijana kumtongoza mwanamke ambaye amemzidi umli bila ya uyo mwanamke kuwasha gree light 2. Changamoto za ndoa asilimia kubwa ya Mashangazi ndoa zao zinasumbua ivyo wanatafuta amani ya mioyo yao kupitia vijana 3. Video...
  3. Mnanje Boy

    Nimeombwa rushwa ya ngono kwenye ofisi X

    Kwaiyo umeleft group au
  4. Mnanje Boy

    Ushauri kwa mnaohitaji misaada mbali mbali mtandaoni/popote

    Apa ameyumba Mkuu kwanza anatufokea
  5. Mnanje Boy

    Vijana hawanyanyuki kiuchumi sababu wanawake ni ombaomba

    Kajala 1&2 tena zote ni Range [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Mnanje Boy

    JamiiForums Usiku wa manane

    3:41 Npo njee Siafu wameingia kwenye mabanda ya Kuku na Mbuzi apa ni mtafutano nyumba mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Mnanje Boy

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Klopp ni next level nilitegemea Mohamed angeanza leo ili kuongeza nguvu pale mbele lkn Mzee kamwanzisha bench [emoji119][emoji119][emoji119]
  8. Mnanje Boy

    Nikiwa sijafanya mapenzi kwa muda mrefu Kichaa kinapanda

    https://www.jamiiforums.com/threads/kijana-wa-kiume-sipendi-mpira-wala-masumbwi-je-kuna-shida.2192009/ Kumbe ndio maana uwezi kubet maana pesa yote unapeleka kwenye kichwa cha chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. Mnanje Boy

    Natafuta Mke wa Masharti ya Maisha ya Uchumi!

    Sasa leo nimeelewa kwamba dhumuni la kukataa ndoa ni kulinda uchumi kwa maana unaogopa ukimuoa Moja kwa Moja siku mkiachana mtagawana vitu kisha uchumi wako utayumba
  10. Mnanje Boy

    Inauma sana na haivumiliki

    Naamini mwanamke ananza then mafanikio maana wengi hufanikiwa wakiwa na miaka 35+ so unakuta mtu tayali yupo kwenye mahusiano au alikuwa kwenye mahusiano
  11. Mnanje Boy

    Inauma sana na haivumiliki

    Wahenga wanasema Kila mwanaume mwenye mafanikio ujue nyuma yake Kuna mwanamke. Shida ni kujua je ni mwanamke gani yupo nyuma ya ayo mafanikio anyway pole sana Mkuu uwende umefanyika daraja ivyo kazi yako imeisha tafuta mwingine ambaye atakuwa daraja kwako
  12. Mnanje Boy

    Msaada kwa hili tatizo

    Mkuu icho nikipindi cha mpito ukiweza kuvuka utakuwa mtu poa sana Ushauri wangu jitaidi kuwa busy au kufanya mazoezi ili mwili wako uchoke pia jitaidi kujichanganya na watu maana kukaa pekeyako muda mwingi unajikuta unawaza vitu vya tofauti Mwisho kabisa lkn sio lazima inabidi utafute Mpenzi...
  13. Mnanje Boy

    Short course gani ilibadili maisha yako?

    Ndio mashiko yapo maana tafiti yoyote ile inahitaji uchambuzi na uchakataji wa taharifa ambao ni bora lkn unavyo soma short course kama hii jitaidi kuwa na connection na watu wanao fanya tafiti kama vile NGOs, Student Mimi niliwai kusomea short course ya data analysis kwa kutumia Genstat wakati...
  14. Mnanje Boy

    Kilimo cha vitunguu maji

    Ah ah apo kwenye kulinda unakuwa na bati au dumi akiwa anakuja kwenye shamba unapiga maana Tembo apendi kelele lkn inabidi muwe kuanzia watu watutu na kuendelea maana ukiwa mmoja unakuwa mfu mtalajiwa
  15. Mnanje Boy

    Kilimo cha vitunguu maji

    Dawa ya Tembo ni kulinda tuu maana ukiweka mizinga ya nyuki inaweza isiwe suluhisho maana Tembo anaweza kuja usiku kula mazao pia nyuki usiku anakuwa sio active kama mchana
  16. Mnanje Boy

    Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

    Kilimo kina hitaji nidhamu, ujuzi na uvumilivu ivyo ingekuwa vyema kama ungepata Shamba boy kutoka Mang'ola, chekeleni, Dumila na Nk maana hao wanaweza kukaa shambani ata miezi sita ajaenda mjini lkn hawa wengine ukitoka tuu nae anaenda center kuangalia mpira au kufanya anasa au tafuta Mzee wa...
  17. Mnanje Boy

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Shusha Mkuu maana watu tupo Lindo apa
  18. Mnanje Boy

    Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Nimeziona pia kama nusu saa iliyo pita pande za Moshi
Back
Top Bottom