yani mpo sawa san , i like perfum ki ukweli inaongeza mapenzi hasa kama mtu amekuwa nayo kwa muda mrefu it become the permanent smell hat akipita you easly know..
uko sawa sana mtoa mada, mwanaume mwingine sijui anakuwa anajipaka nini
yani sielewi wakati anajipaka anaipenda ile harufu au anajipaka ili akuvutie kumbe jamani ndo anaharibu kabisa coz harufu yake ni nouma .. ila ndo hivyo kama unampenda utasema ne kuhusu harufu yake
ukutane nakitu kinavuta...
mmmh huwa ni ngumu sana ..kukaa na mtu wa tabia yako ki ukweli inaashiria hat aukiingia nae kwenye family atakuwa si baba bali .....
kwani hujui kutoa kabisa je watoto utawaangalia kama mama tu umeshindwa .
mmh huyu dada apate uwezo zaidi na kazi ni kwake!!!
una shamba/kiwanja kaka?
una gari aina gani?
utawanunulia wakwe zako I phone?
na shemeji zako Blackberry?
unabiashara gani mjini? umeejiriwa ?kazi gani?
ninakiwanja nilipewa moshi je utakuwa tayari kujenga ili tukiwa tunaeda dec tupate kwa kufikia?
..........ka yes basi ni pM Faster
mmh piddy ..nilivyona tu jina nikajua na neno wachagga lipo...
magogo, wakatili, wapenda pesa, wasio na utu , wababe , wauwaji wame .... tokalini tukapedwa mpka cha kukimbia na mchumba..lol
RIP wazazi wa Bint hedaru
duuh wanapiga game kwa muda sana yani kama 8 hours hivi
ukishtuka lol saa kumi na moja na bado unatakiwa kuwahi job ..usisahau the morning oxoxo
ni noumer noumer
khe nawewe mambo ya kizamani
kwani hao ladiesa friend hawajui kama umeoa , inaonekana humpiattention mkeo kisa hao ndio maana mnagombana
chakufanya acha mawasiliano nao kwan kam ni mambo ya shule si mkongee shule na kaz kazin unless its emergence issue i.e kesho no class au kikazi zile doc...
SWEET LADY.. no one forced you to be with them, katafute wasiopenda pesa ukae nao
kwanza hata sisi wamachame hatuwapendi nyie wa makabila mengine huwa mnajipendekeza tu kutufuatafuata ...mara ooh mim natakamachame girl i know will make life oohh shit , ukiona tunawakubali ujue basi tu wakwetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.