Ni wapi wewnye mapenzi ya dhati jamani

Elimu haihusiani na mapenzi hata kidogo,what matters ni mapenzi ya kweli.mchukue darasa la saba,au mwenye degree,wote sawa,labda useme mwenye elimu ya juu mtasaidiana kujenga maisha,ila wa lasaba atakuwa tegemezi..lakini hakuna mahusiano yoyote juu ya elimu na mapenzi.
 
Wanawake wasomi na ambao ni wa kawaida yani walioishia la saba tu,na ukilinganisha na wenye elimu za juu,ni wpi weny mapenzi ya dhati na waaminifu zaidi

Suala la mapenzi ya kweli haliangalii kiwango cha elimu aliyonayo mtu.
 
tafuten kitabu kinaitwa how to be a pimp.msome then mje hapa tuongee.wanawake ni ki2 cha 3 muhimu after succes and respect
 
me nimeuliza hivyo sababu wanawake wenye elimu kubwa wengi wanajiona wanajua kila kitu,swali,oa mwanamke akuzidi elimu alafu uone,wana nyodo ndugu,na anajiona yeye ndo top
 
me nimeuliza hivyo sababu wanawake wenye elimu kubwa wengi wanajiona wanajua kila kitu,swali,oa mwanamke akuzidi elimu alafu uone,wana nyodo ndugu,na anajiona yeye ndo top

ok,kaoe unao wapenda wa elimu ya chini yako.huo ni msimamo wako.tuko tofauti.
Usimwogope mwanamke kisa elimu yake,ndiyo maana wanawatesa.
 
mapnz ya that hayana uhusiano na kiwango cha elimu,ni swala la mtu binafsi na mhusika anaweza acwe na mapnz kwako akampenda mwingine and virse versa.

Naungana mkono na wewe 100%; Hakuna mahusiano kati ya kiwango cha Elimu na mapenzi.
 
Back
Top Bottom