Am soo Down

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
Mashosti.wangu nisaidiene.

jamani am soo down. nashindwa hata kufanya kazi ilhali nina a lot of dedlines to meet.

I cant really tell why am having these feelings.

Jioni Njema mashosti. Let me go home.
 
Nenda hm mwaya,kapumzike kesho ukirudi uko fresh! Ukifka hm,jipumzishe na kagla ka dompo kiaina! Kesho nipe mrejesho!
 
Poolee..it happens sometimes. May be una stress za kazi...just go home and take a good shower. Then ulale mapema so that uamke fresh kesho..
 
Pole, au unaugua mapendo?
ANyway, pole sana. ni sehemu ya maisha
 
shosti unaomba ushauri huku umeshafanya maamuzi ya kusepa home
 
pole huwa inatokeaga ..sometime u dont even know what you want? hasa ukiwa na single life but itaisha soon mwaya pole san
 
Pole sana mamito,
hauko peke yako mie mwenyewe sio kbs,
Nilichofanya nimekunywa maji glass 2,nikajisikia ok kidogo,
Nikamalizia kimeo changu sasa narudi zangu hm nikapumzike.
 
Pole sana mamito,
hauko peke yako mie mwenyewe sio kbs,
Nilichofanya nimekunywa maji glass 2,nikajisikia ok kidogo,
Nikamalizia kimeo changu sasa narudi zangu hm nikapumzike.
Cantalisia, nini mbaya? Be happy bwana!
 
Mashosti.wangu nisaidiene.
jamani am soo down. nashindwa hata kufanya kazi ilhali nina a lot of dedlines to meet.
I cant really tell why am having these feelings.
Jioni Njema mashosti. Let me go home.
Take a day off, nenda ukamtembelee rafiki, soma kitabu cha zamani... indulge yourself. labda hayo ma deadlines ndio yanakupa stress...
 
It happens many times...unatakiwa kupumzisha akili...ila kumbuka kupumzisha akili siyo kulala etc.. ila Unatakiwa kufanya kitu kingine tofauti na vile unavyofanya kila siku. Sahau hizo deadlines...Kumbuka kuto-meet deadlines kunatokana na kazi zako za nyuma na wala siyo ya leo tu.

Anyway, Rest kwa kufanya kitu kingine.mfano..unaweza kukurupuka na kununua Fanta kubwa 3 au 4 na kukatiza kwenye nyumba za watoto mazingira magumu..ukapiga stori mbili tatu na kuishia. Kufanya kile ambacho hukupanga kutakufanya kujisikia huru na Fresh.

All the best!
 
Take a break.. go home find a good bottle of champagne and give yourself a treat dear!! Huku unacheck a nice movie.. Sometimes mood swings to the bad direction you got to do something to cheer up!
 
pole,inatokea,na kwetu wadada wakati mwingine ni mabadiliko ya hormones....fanya kitu unachokipenda na mtu unayempenda....!!:washing:
 
pole vivi,ni vigumu kumshaur mtu usiyejua tatizo lake ni nini lkn najaua si kila tatizo unaweza kulielezea hapa,jaribu kuwa na rafiki zako mcheke na kufurah kidogo labda inaweza kukusaidia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom