Ni kweli wanamirugi wanachukua mda?

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habarini jamani nilikuwa nauliza ni kweli walamirungi wanado kwa mda mrefu bila kuchoka au ni uzushi 2?
 
Inategemea, kama mtu ametumia kwa afya anapiga game si ya kitoto.
 
habarini jamani nilikuwa nauliza ni kweli walamirungi wanado kwa mda mrefu bila kuchoka au ni uzushi 2?

labda inategemea na mtu!!!!hiyo kitu iliniaibisha,kupiga starter tu wazungu hao halafu network kukamata ikawa utata!nilitumia nguvu nyingi za maneno ya kujitetea mtoto asinione siyo!
 
kwa baadhi ya watu inachukua muda mrefu lakini wengine wanakosa hata hamu ya tendo.
 
mimi nimwaume siwezi kuwasema wanaume ila binafsi sijawai tumia..naomba wanamama watujuze mziki wao(hawa wala mirungi) lakhni vipi kuhusu wanawake wala mirungi wao vipi kwenye pafomansi ni wakata nyonga wazuri au la?
 
Sex satisfaction haiusiani na mda gani upo kwenye kifua bali ni maandalizi na romantic game katika mchezo,mie naweza chukua dkd 5 hadi 40 inategemea demu anaenjoy vp,kama nikimuona anaenjoy na holdback wazungu naendeleza game hadi nimuone anapiss,mirungi inaleta upungufu wa nguvu za kiume
 
duuh wanapiga game kwa muda sana yani kama 8 hours hivi
ukishtuka lol saa kumi na moja na bado unatakiwa kuwahi job ..usisahau the morning oxoxo
ni noumer noumer
 
ni upotoshaji mtupu gomba linapunguza nguvu na ukitumia sana hisia zinapotea kabisa yaani kama una mke usishangae kuitwa na wazee kwa kosa la kumnyima mkeo unyumba
 
kuchukua muda mrefu kumaliza haina maana kama hujamridhisha mwenzio. Utaishia kumkera kama si kumchubua.
Tendo la ndoa ni ubunifu na utundu wa kuweza kumfikisha wenzio kileleni,na mkiambiwa kileleni sio juu ya kifua chake jamani. Na kufanyikisha hiko huitaji mirungi.

So binti achana na uzushi wa mtaani, usije tafuta mla mirungi buuuure
 
Sex satisfaction haiusiani na mda gani upo kwenye kifua bali ni maandalizi na romantic game katika mchezo,mie naweza chukua dkd 5 hadi 40 inategemea demu anaenjoy vp,kama nikimuona anaenjoy na holdback wazungu naendeleza game hadi nimuone anapiss,mirungi inaleta upungufu wa nguvu za kiume

Mie nakula sana huu mmea hapa mjini kwetu. Si kweli inapunguza nguvu za kiume bali ndio inaongeza. Ukiitafuna sawasawa hadi ukienda haja ndogo unaskia utamu! Me nkila napga mzigo masaa 3 had 5, yaani kama demu mchovu ataacha ch@&+ na kusepa.
 
ni upotoshaji mtupu gomba linapunguza nguvu na ukitumia sana hisia zinapotea kabisa yaani kama una mke usishangae kuitwa na wazee kwa kosa la kumnyima mkeo unyumba

wacha hizo ww! Gomba linaongeza stamina ucpime
 
Wakubwa shukeni na uzi kwa raha zenu, mie sitii maguu hapa sina Network na agenda hii.
 
dada anguu naombaa nikujibu hilii,asilimia kubwaa ya wala bangeee sio wapenda mabintiii,unakutaa akiwaa steam labda alikuwa na apointment na gasperaaa[binti]utakutaa anapotezeaa from no where,kunaahali flani ya kupuuza na kuona kilaa k2 rahisi,so haendi..na why unasemaa wana last long cse wakiwaa juu feeling za kukojoaa zina kuwaa mbali sanaaa,ilaa asikwambie m2 kunaa walee walaa teriii aka podaa waleee hawakojoiii aseeeeeeeeeee ulizaaa
Si kweli labda bangi
 
Back
Top Bottom