Search results

  1. Bosi Michembe

    Kwa ma-atheist

    Pamoja sana
  2. Bosi Michembe

    Balozi Juma Mwapachu, kuhusu kuchaguliwa kwa John Pombe Magufuli kuwa Rais wa JMT

    Mtaalam wa kukosoa watu lugha ambayo hatujazaliwa nayo naona kawahi kufuta post baada ya kuingia chaka mwenyewe. Helenic= Hellenic
  3. Bosi Michembe

    Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

    Jamaa yuko huku Zanzibar umeme ushakatwa kitambo..
  4. Bosi Michembe

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu Dangote ulifikia wapi? Kuna changamoto zipi ulizokumbana nazo.
  5. Bosi Michembe

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Daah siamini.. Rip brother! Nimetoka lushoto juzi na kukubali harakati zako na jinsi unavyokubalika. Poleni wafiwa..
  6. Bosi Michembe

    Funza kwa ajili ya mifugo

    Haaaahaaa aiseee u made my day.
  7. Bosi Michembe

    Njama za CCM kumuweka Kizuizini Lowassa zaiva!

    Dah hizi ni habari za kushtusha kwa kweli ila kwa kifupi wanamuongezea jamaa popularity na pity kwa wananchi. Huyu jamaa alieanzisha huu uzi hapo chini aliona mbali kwa namna flani...
  8. Bosi Michembe

    Wivu, hasira, zinanisumbua

    Eduin 0713 123 ... na kuendelea ni code number za full time employees wa tigo. Na ni mali ya tigo ukiacha kazi lazima uirudishe. We ni mfanyakazi wa tigo au unamuuzia mtu msala hapa??
  9. Bosi Michembe

    Natafuta Ng'ombe wa maziwa

    Kaka umefikia wapi kwenye mradi wako? Umefanikiwa kupata mbegu? Unaweza kuleta feedback kama ipo hili na sisi tuone changamoto na jinsi ya kujipanga.
  10. Bosi Michembe

    Alininyanyasa sana nilipofukuzwa kazi, MUNGU ameniona, sasa yamegeuka

    Aiseee! umenivunja mbavu kidogo nirudishe Tbl na nyama choma mezani.. Kula like...
  11. Bosi Michembe

    Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

    Hujamkwaza mtu ila kumbuka kwenye dunia hii sio wote waumini na wanaamini unachokiamini. Jamaa ana kipaji anastahili kufaidi matunda ya kipaji chake kwa wenzetu wanaothamini sanaa huyu jamaa sio mwenzetu kabisa wa kuja kuomba dili hapa. Akiendelea kupokea 20k na kusubiri hiyo miujiza ya mungu...
  12. Bosi Michembe

    Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

    Nkrumah Hall kwenye haya maonesho ya sanaa hapa juzi mwezi uliopita au??
  13. Bosi Michembe

    Chuchu Sound: Zamani hadi sasa

    Mkubwa shukrani kwa kuzipandisha hizi.. Vipi unaweza kupandisha na MARAFIKI kama unayo kwenye collection yako? Shukrani za dhati na salute kwako!
  14. Bosi Michembe

    Kwa mahitaji ya picha nzuri nitafute

    Tembelea kijiji au centre ya wasanii nafasi art space iko mikocheni nyuma ya itv baada ya yard ya kilimanjaro express ufungue macho kidogo kutoka kwa wenzako. kufanya kazi moja kwa 20k maisha haya kutoboa kimaisha itakuwa ngumu nenda ukawe inspired kwa wasanii wenzako maana sikuona kazi chini ya...
  15. Bosi Michembe

    Mtangazaji Mtanzania wa BBC arudi kujiunga na Azam TV

    Chanzo changu makini ndani ya BBC kimeniambia BBC makao makuu wamebadilisha strategy na idhaa za lugha ngeni hasa kiswahili zitaanza kurushwa kutoka nchi husika mnamo mwezi wa nane mambo yakienda vizuri. Hii ina maanisha nini??? Ni kwamba watangazaji wote wa idhaa ya kiswahili (kikeke and the...
  16. Bosi Michembe

    Nataka kufuga ndege tausi

    Tausi kumpata kwa bongo ni ngumu kwa sababu hawapatikani kokote sio asili yao hapa. Tausi unaowaona mitaa ya magogoni mpaka makumbusho ya taifa tulipewa kama presidential gift nadhani from india. Hivyo ukikutwa na tausi kibongo bongo utatuhumiwa kuiba zawadi ya rais. Teeheeeheee! Lakini kama una...
  17. Bosi Michembe

    JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

    Hizi ni heavily donor funded projects usiziweke mizani moja na hizi home videos za kibongo
  18. Bosi Michembe

    JB na Skendo mpya ya kuiba mawazo ya Movie ya ''Ladies Vs Ricky Bahl"

    Unasema sio wewe ulieandika haya? Kwa hiyo ni coincidence tu huyo mwandishi Daniel Manege naye kaandaa filamu ya safari ya Gwalu jina linaloendana na id yako ya jf?
Back
Top Bottom