Search results

  1. Optimus_Prime

    John Bocco aandaliwe kama golikipa wa akiba

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  2. Optimus_Prime

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwa Mwaka
  3. Optimus_Prime

    Katika Mikenge wananchi wa kawaida tuliwahi kuingizwa na kununua hisa za Voda

    Voda wao wananunua huduma kutoka kwa hizi kampuni kama ifuatavyo. Minara yote ya simu waliuza kwa kampuni moja inaitwa Helios tower na kuanza kukodisha huduma kwenye ile minara. Lengo la kufanya hivi ilikua ni kupunguza gharama za uendeshaj kwan hawa Helios tower kwenye ule mnara wa mawasiliano...
  4. Optimus_Prime

    Marekani: China inazidi kutumia mabavu na fujo

    Baada ya vita yabpili ya dunia kuliinuka tena kwa vita ndani ya China kati ya wanotaka serikali ya kijamaa wakiongozwa na Mao Tsetung na Zhou Enlai dhidi ya wasiotaka serikali ya kijamaa ambai hawa walikua wanaongozwa na Chiang Kai Shek. Kumbuka kwamba hawa ugomvi wao ulianza hata kabla ya vita...
  5. Optimus_Prime

    Kumbe hata Marekani inaathiriwa sana na vita vya Ukraine, Senator ampinga Biden

    Wanasiasa wamenunuliwa na matajiri wa makampuni ya silaha (Millitary Industrial Complex). Kinachofanyika ni wao kuunga mkono kupitisha bajeti hii mwisho wa siku sehemu kubwa ya hizo hela zitarud kwao coz ndo watakaotengeneza hizo silaha za kupeleka uko Ukraine. Also pia itawapa U.S sababu za...
  6. Optimus_Prime

    Kumbe mpenzi wangu anajiuza

    Usiache kuleta feedback
  7. Optimus_Prime

    Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

    [emoji1787][emoji1787][emoji2] Asee umenikumbusha mbali sana, kaka yangu aliponunua gari yake ya kwanza (Noah) aisee ilikua ni burudan. Ile Noah ilikua inapendwa kuliko mke[emoji1787][emoji1787]. Ile Noah masaa yote vioo havifunguliwi, haijawah kua na mafuta chini ya robo tank. Kuhusu kuiosha...
  8. Optimus_Prime

    Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Niliwahi kusoma mahal hichi kilimo, kinachukua zaidi ya mwaka mmoja kuanzia kupanda, kuvuna, kuanika na kuhifadhi ndani ili ile chemical ya Vanilin ambayo hasa ndo inayolipa hili zao thaman iweze kujitengeneza. Hii vanilin inatumika sana kwenye kutengeneza manukato, kwan hata ukiwa umeihifadhi...
  9. Optimus_Prime

    SoC01 Kilimo cha mtaji wa Tsh bilioni 25 ndicho kilimo kitakachokuwa uti wa mgongo wa Tanzania

    Apo kwenye agricultural drone za kupiga picha unaweza kutumia satellite ambazo zitakua zinapiga picha shamba lako kila siku. Picha hizi zitasaidia sana kuonyesha ni maeneo yapi ya shamba yana struggle na yapi yananenda vzuri. Taarifa za satellite zinaweza kuwa intergrated moja kwa moja kwenye...
  10. Optimus_Prime

    Rais Samia haropoki hana temper ni vitendo tu

    Hili swala nilimind sana, yani jamaa anaita press conference anamuwekea Mama kibesi, anaongea kwa kum command
  11. Optimus_Prime

    Hongera sana Zitto Kabwe, Rais Samia sasa kuendeleza mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Huyu Zitto amejikita zaidi kutueleza faida na matokeo ya mradi lakini hajagusia hata kidogo mkataba na makubaliano ambayo yangekuwepo endapo tungeendelea na huu mradi. Hili kujibu hoja za serikali kuhusu mkataba mbovu angeleta mkataba halisi ambao ungewekwa mezani na kuuchambua vipengele vyake...
  12. Optimus_Prime

    Picha zaidi za lendcruiser V8 mpya 300 series zavuja

    Io show ya mbele inataka kufanana na Cadillac Escalade latest model
  13. Optimus_Prime

    Rais Joe Biden aidhinisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wanaoungwa mkono na Iran nchini Syria

    Trump si ndio aliwafanya kitu mbaya kabisa alipomuua kamanda wao Qassem Suleiman
  14. Optimus_Prime

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Asee bro mimm pia nilikua Msange 823 KJ OP Miaka 50 ya JKT, nilikua C Coy na akina Afande Simkoko[emoji1787][emoji1787]. Memories nyingi sana kwa kweli. Nakumbuka ile siku tulipewa root ndefu kishenzi ya kukimbia, root inaitwa Mbola Matola[emoji1787][emoji1787]. Iyo siku nilirudi mwili mzima...
  15. Optimus_Prime

    Kwanini mikutano ya Trump inajaa mno lakini ya mpinzani wake haina hata amsha amsha

    Kwa ajili ya hizi strict lockdown ndo maana majimbo mengi yanayiongozwa na democrats kama California uchumi umeanguka vibaya mno maisha yamekua magumu hali inayosababisha watu kuyakimbia hayo majimbo. Sent from my SM-G928C using JamiiForums mobile app
  16. Optimus_Prime

    Angalia US Presidential Debate 2020

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mzee baba angechimba mikwara kichiz. Angerudia yale mambo yake ya, "Watch it".
  17. Optimus_Prime

    Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

    Kwa Boeing 787-8 a.k.a dreamliner General Electric walikuja na engine yao GEnx-1B lakini Engine ya Rolce Royce ndio ilionekana kua bora zaid kwenye Model hii kutokana na specification za mtengenezaj (Boeing) alizokua anahitaji,
  18. Optimus_Prime

    Uwepo wa nembo ya Royce Roycee kwenye Engine za Airbus ya Air Tanzania

    Kuhusu uwepo wa engine za Rolce Royce ni kwamba hawa jamaa biashara yao kubwa ni kutengeneza Engine za ndege. Kuna wakati walijiingiza kwenye biashara ya kutengeneza magari ya kifahari lakini baadae waliuza hii division ya magari kwa kampuni ya BMW. Kuwepo kwa Engine ya Rolce Royce kwenye...
Back
Top Bottom