Marekani: China inazidi kutumia mabavu na fujo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
1654937036585.png

Waziri wa Ulinzi, Lloyd Austin amesema Marekani itasimamia nafasi yake katika kudhibiti mvutano na China na kuzuia mapigano licha ya Beijing kuzidisha mabavu katika Ukanda wa Asia, ikiwemo karibu na Taiwan

Uhusiano kati ya China na Marekani umekuwa tete miezi ya hivi karibuni, huku Mataifa hayo yavikutana kwenye masuala kadhaa yakiwemo Taiwan, Haki za Binadamu na shughuli za kijeshi katika Bahari ya Kusini mwa China

Lloyd amesema Marekani itaendelea kusimama pamoja na Washirika wake, ikiwemo Taiwan

========

The United States will do its part to manage tensions with China and prevent conflict even though Beijing is becoming increasingly aggressive in the Asian region, including near Taiwan, U.S. Defense Secretary Lloyd Austin said on Saturday.

Relations between China and the United States have been tense in recent months, with the world's two largest economies clashing over everything from Taiwan and China's human rights record to its military activity in the South China Sea.

At a meeting between Austin and Chinese Defence Minister Wei Fenghe on Friday, both sides reiterated they want to better manage their relationship although there was no sign of any breakthrough in resolving differences.

Addressing the Shangri-La Dialogue, Asia's premier security gathering, Austin said the United States would continue to stand by its allies, including Taiwan.

"That's especially important as the PRC (People's Republic of China) adopts a more coercive and aggressive approach to its territorial claims," he said.

China claims self-ruled Taiwan as its own and has vowed to take it by force if necessary.

Austin said there had been an "alarming" increase in the number of unsafe and unprofessional encounters between Chinese planes and vessels with those of other countries.

A Chinese fighter aircraft dangerously intercepted an Australian military surveillance plane in the South China Sea region in May and Canada's military has accused Chinese warplanes of harassing its patrol aircraft as they monitor North Korea sanction evasions.

Taiwan has complained for years of repeated Chinese air force missions into its air defence identification zone, which is not territorial airspace but a broader area it monitors for threats. Austin said these incursions had surged in recent months.

Taiwan's foreign ministry thanked the United States on Friday for its support and denounced China's "absurd" claims of sovereignty.

"Taiwan has never been under the jurisdiction of the Chinese government, and the people of Taiwan will not succumb to threats of force from the Chinese government," said ministry spokeswoman Joanne Ou.

Austin said that the United States' policy on Taiwan was to remain opposed to any unilateral changes to the status quo.

"Our policy hasn't changed. But unfortunately, that doesn’t seem to be true for the PRC," Austin said.

However, he added: "We'll do our part to manage these tensions responsibly, to prevent conflict, and to pursue peace and prosperity."

Biden said last month the United States would get involved militarily should China attack Taiwan, although the administration has since clarified that U.S. policy on the issue has not changed.

Washington has had a long-standing policy of strategic ambiguity on whether it would defend Taiwan militarily.

Austin's meeting with Wei largely focused on Taiwan.

"Maintaining peace and stability across the Taiwan Strait isn't just a U.S. interest. It's a matter of international concern," Austin said.

Source: Reuters
 
Anayejua historia ya China na Taiwan atuwekee hapa tafadhali
Hadisi yafanana na ile ile kama ya Russia na Ukrean kuhusu USSR, lakini China na wao walikuwa pamoja na Taiwan katika lile bara lao, sasa baada ya vita ya Pili ya dunia Taiwan wakajitenga na kufanya nchi yao huru ambayo ina mamlaka yake kamili kama ilivyo Ukrean kwa upande wa Russia.

Sasa China anadai Taiwan ni eneo lake hivyo anataka kulitawala liwe chini yake jambo ambalo Taiwan hawatakubali abadan lakini Taiwan ilivyo leo wamekuwa wakifadhiliwa technologia na kupewa wataalamu kutoka Marekani mpaka Taiwan kuwa vile ilivyo leo, ndio maana mnyama Marekani anamtahadharisha China kwamba akiona vinaelea ajue vimeundwa.

Marekani ameapa atashirikiana na Taiwan mchana na usiku kupambana na adui China kama akijaribu kufanya mavamizi kama anavyotibuliwa Russia kule ukrean lakini kwa Taiwan Marekani atamlinda kivyengine lazima jeshi la Marekani litakuwa ndani na nje kuilinda Taiwan.,

Marekani wana kituo cha kijeshi ambacho kiko karibu na Taiwan ukimaliza ule mwambao wa bahari kinaitwa Gam, hivyo wanaiyona Taiwa kama unavyotazama na kuona kitu chochote kwenye macho yako.
 
Anayejua historia ya China na Taiwan atuwekee hapa tafadhali
Baada ya vita yabpili ya dunia kuliinuka tena kwa vita ndani ya China kati ya wanotaka serikali ya kijamaa wakiongozwa na Mao Tsetung na Zhou Enlai dhidi ya wasiotaka serikali ya kijamaa ambai hawa walikua wanaongozwa na Chiang Kai Shek. Kumbuka kwamba hawa ugomvi wao ulianza hata kabla ya vita ya pili ya dunia na uvamizi wa Japan ndan ya China. Baada ya Japan kuivamia na kuitawala China around early 1940's haya makundi mawili yaliungana kwa ajili yankumng'oa adui yao ambaye ni Japan, aliyefanya kazi ya kuyaunganisha haya makundi mawili alikua ni huyu msaidiz wa Mao aitwae Zhou Enlai.

Baada ya Vita ya pili ya Dunia kuisha hizi pande mbili zikarudi kwenye mnyukano adi 1949 pale ambapo wale wasiotaka serikali ya kijamaa walishindwa vita na kuamua kukimbilia visiwa vya Formosa ambavyo ndo leo hii vinatambulika kama Taiwan. Walienda huko kuanzisha Taifa lao na Chiang Kai shek qkawa Rais wao wa kwanza kwa msaada wa Marekan na walifanikiwa kuendelea sana zaidi ya China ingawa baadae China na wenyw walikuja kukua kimaendeleo hadi kuwapita mbali hawa Taiwan.
 
Kule Taiwan, Kule Congo, Kule Nkorea, Kule Ukraine, dunia inachangamka haswaaa...
Soon Malawi na Tz kisa Ziwa
 
Hadisi yafanana na ile ile kama ya Russia na Ukrean kuhusu USSR, lakini China na wao walikuwa pamoja na Taiwan katika lile bara lao, sasa baada ya vita ya Pili ya dunia Taiwan wakajitenga na kufanya nchi yao huru ambayo ina mamlaka yake kamili kama ilivyo Ukrean kwa upande wa Russia.

Sasa China anadai Taiwan ni eneo lake hivyo anataka kulitawala liwe chini yake jambo ambalo Taiwan hawatakubali abadan lakini Taiwan ilivyo leo wamekuwa wakifadhiliwa technologia na kupewa wataalamu kutoka Marekani mpaka Taiwan kuwa vile ilivyo leo, ndio maana mnyama Marekani anamtahadharisha China kwamba akiona vinaelea ajue vimeundwa.

Marekani ameapa atashirikiana na Taiwan mchana na usiku kupambana na adui China kama akijaribu kufanya mavamizi kama anavyotibuliwa Russia kule ukrean lakini kwa Taiwan Marekani atamlinda kivyengine lazima jeshi la Marekani litakuwa ndani na nje kuilinda Taiwan.,

Marekani wana kituo cha kijeshi ambacho kiko karibu na Taiwan ukimaliza ule mwambao wa bahari kinaitwa Gam, hivyo wanaiyona Taiwa kama unavyotazama na kuona kitu chochote kwenye macho yako.
Ubaya China ktk ukanda wa Asia pacific anakubalika kiufupi Malaysia,Singapore,Indonesia,Phillipines zote zinamuona China muokozi wao na wao wamekubali China ajitanue kijeshi hana madhara kwao bila na kuisahau N.korea,tofauti na Russia hapendwi alikua anapendwa na Belarus pekeake.Hivyo USA ana kazi kubwa,pia mataifa ya Asia yanajua umuhimu wa uimara wa uchumi wa China na jeshi lake vimewasaidia sana hivyo ktk kikao cha shanglari Singapore wamechagua kuiumga mkono China.Hiyo Taiwan haina nguvu maan ht kiuchumi ndani imeoza kuna tabu ya bidhaa kupanda bei na tatizo la maji safi unatarajia atakinzana na China kikamilifu jibu hapana.
 
Back
Top Bottom