Search results

  1. M

    Natafuta mwanamke aliyeachika na mwenye watoto

    Huyo aliekwenda na pressure nadhani hata over weight inatokana na stress!!! Vp tabia zako?!
  2. M

    Mfumo wa Mishahara Mwisho wa Mwezi Umepitwa na Wakati Serikali Ijipime!!

    Yani wewe ni kichwa sana sana ukiacha mambo yako ya kuweka mabebs fb usingepoteza mwelekeo na watu kukupuuza.. Mh akupendelee hata ka ukuu ka wilaya.
  3. M

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Hawakumbuki umaskini uliokuwepo alipowatoa babu zetu ktk ukoloni... mlitaka ashushiwe utajiri awape?! Amejitahidi ili japo na wewe umekuta rasilimali, sivyo ungesoma ktk history tu.
  4. M

    Natafuta shule kwa ajili ya binti yangu

    Baobab ni nzuri sana, na ipo kidini sana na kielimu japo hawabagui ila islamic wanapewa kipaumbele. .mapinga b/ moyo.
  5. M

    Line za Tigiopesa, M pesa na Airtel money zinauzwa

    Nahitaji mpesa na airtell money
  6. M

    Nisha Augua Baada Ya Kuavya Mimba

    Mmmmh si useme tu kuchoropoa?! Kuavya ni kilugha au?
  7. M

    Jinsi ya kumfunza mtoto mdogo kuongea vizuri

    Hata wangu ana mwaka na miezi mi 5 anaongea hivyo hivyo na sina hofu,kwani bado muda wake ataongea tu..
  8. M

    Le mutuz akijirusha na teenagers ndani ya after xul bash

    Hawa si watoto watoto wenzie jamani.. Labda mchumba kamibua humu.
  9. M

    Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

    Najitahidi kuweka inagoma,ila naendelea kujaribu tena.
  10. M

    Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

    Asante kwa kunisahihisha.. si unajua tena wengine r r nyingi?
  11. M

    Mtoto wa Barotelli amempata baba mpya...

    Baada ya kumkataa mtoto wake aliemzaa na Raffaella.. siku ya birthday ya mtoto huyo wa kike anaeitwa PIA amekabidhiwa zawadi kwa baba mwingine atakaendeleza malezi pamoja na mama wamtoto.
  12. M

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Kwa hiyo ulikuwa unakwenda shule, ukirudi mnakulana sivyo!? Kama ni kweli wewe sichana mwenzangu ni katili wa kutupwa!kumbuka unaimuita mshamba ndye aliyekutoa ujinga. Na baada ya kujitambua unakubali vyake vya nini? Nenda mwanakwenda.
  13. M

    Agnes masogange sizzles in new pics

    Ni mzuri ila punda
  14. M

    Mapenzi: Hatari, Kidogo Niue! Mungu Nisamehe.

    The mukubwa angekuwepo ungemuuzia hii story.. au muuzie Ray
  15. M

    Mwanamke Akishagawa Papuchi Hana Ujanja Tena!!

    Wangekuwa hawapigi bastola na kujibastola basi.. we wadanganye tu.
  16. M

    kibarua kwa wadada tu.

    Ok nitakupigia muda si mrefu, ila ni serious si jambo la utani utani. Maana wengi humu wapo ki utani zaidi.
Back
Top Bottom