kibarua kwa wadada tu.

Maria Nyamhanga

Senior Member
Jun 14, 2011
130
25
Anahitajika msichana mwaminifu, mchangamfu,mwenye bidii. kuanzia umri wa 18 na usiozidi 35. kazi ya kuuza duka la nguo sinza. Anaeishi karibu na eneo la kazi.. ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha. Kwa muhitaji ani pm.
 
Anahitajika
msichana mwaminifu, mchangamfu,mwenye bidii. kuanzia umri wa 18 na
usiozidi 35. kazi ya kuuza duka la nguo sinza. Anaeishi karibu na eneo
la kazi.. ajue kusoma na kuandika kwa ufasaha. Kwa muhitaji ani
pm.

mimi nahtaji but siwezi kupm coz ni mpya bado humu..contacts zangu ni 0655555980
 
Ok nitakupigia muda si mrefu, ila ni serious si jambo la utani utani. Maana wengi humu wapo ki utani zaidi.
 
ata mi nataka jamaniiiiiiiii....ila kaz ya kuuza nguo sinza duuh..msijesema mhahara kamisheni tu:A S-confused1:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom