Search results

  1. K

    Inside Considence: Utata juu ya kifo cha muigizaji Bruce Lee..

    Bruce Lee alikuwa mteja big time wa unga!!
  2. K

    TANZIA: Joel Bendera, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, afariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

    R. I. P baba Mkwe wangu kipenzi!!nitakukumbuka sana nashukuru kwa kunipatia mke mwema baba yangu
  3. K

    Mume anahitajika 36+

    Mi nko tayari nimekidhi vigezo vyote so nakupataje mama?
  4. K

    Hizi ndizo barabara kuu hatarishi Tanzania

    Mombo hadi Lushoto acha kabisa hiyo barabara
  5. K

    OFFER YA SAA NZURI -Maonesho ya syria Diamond Jublee

    Nataka curren 4411 ya silva mkanda wa chuma nitapata nijibu naw
  6. K

    Huyu hapa mume wa Irene Uwoya

    Lakini huyu si mke wa mtu?kwa hiyo jamaa kaoa mke wa mtu da!!!
  7. K

    Mohamed Hussein 'Mmachinga': Mbinu zinazotumiwa na Mayanga hazisaidii Taifa Stars.

    Mayanga hana chochote anatafuta cv tu kutokupoteza mechi imependeza zaidi kama angewaita angalau vijana sita ama Saba kutoka Serengeti boys then wapate uzoefu tutengeneze timu ya bdae ila kwa mwendo huu milele tutakuwa hapa hapa mfano hai waangalie cape Verde juzi tu hapa tulikuwa tunawaonea...
  8. K

    Katoliki ni zaidi ya uijuavyo!

    Jamani nawashauri msikilize nyimbo ya daz baba inaitwa rastaman jamaa kuongea sana humo!kifupi humo kuna kila kitu yaani hizi dini zinaletwa kwetu Africa na wazungu na waarabu tutachinjana tutauwana lakini dini ni moja tu imani ndani ya moyo wako kutenda yale yaliyo mema na kuacha yaliyo mabaya over
  9. K

    Askari wa kutuliza ghasia(FFU) wanywa pombe muda wa kazi

    Jamaa wana raha sana wale pombe wanakunywa bure bangi wanavuta bure tena bila hofu yoyote maana ziko za kutosha kwny vituo vya polisi wanazichota tu baada ya hapo wanatukamata wanatumbambikia kesi zikiwemo za bangi wanachukua hela zetu then wanaenda kulewa da jamaa hii dunia ni ya Kwao!
  10. K

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Kwa Mungu mwenda wazimu na timamu na takataka na masikini na tajiri yeye hana kubagua wote watu wake!siku ya mwisho hautaulizwa wewe ulikuwa nani duniani ama ulikuwa na cheo gani bali utahukumiwa kutokana na matendo yako, kile kibaba ulichowapimia wenzako ndicho nawe utapimiwa hicho hicho...
  11. K

    Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

    Mbona huwa mnachepuka sasa kwenda kwa visela na huku mumeo anakupa kila kitu ndani?
Back
Top Bottom