Search results

  1. D

    Airtel Tz mko serious kweli? network ya hovyo ( too slow) na bundle nazo mmezifanya za hovyo

    Niwashukuru tu airtel kwa muda wote wa 3month niliovumilia kuwa nanyi am going back kwa wezi wangu voda majuzi walizima internet usiku na walitutaarifu. Wanaupdate/upgrade network zao ziwe fasta zaidi kilichotokea nimeamishwa kwa 3G, H+ hadi E?? yani hata kutuma picha whatsapp ni shidaa nikawa...
  2. D

    CCM na assimilation police yenu mtakuja kujuta

    nasubiri matokeo ya hii policy mpya ya ccm malaika wawashukie tu wasitumie ubabe wa police na jeshi ndo watajua impact ya iyo policy yao
  3. D

    Mtandao wa whatsapp uko active kwenu?

    Kwenye simu yangu sielewi kabisa nimerestart simu bado app zingine ziko active
  4. D

    E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

    Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am ok, I got new chick better than her bla bla...money is nothing kwenye hili nyie mnaojidai I got cash...
  5. D

    Mwenye majina, picha na CV za wanawake marubani kutoka Tanzania

    So far nimekuwa nikivutiwa sana na Hilder Ringo wa fastjest kwa sasa mwenye list, picha na CV zao baadhi ya wanawake marubani kutoka Tanzania. Share hapa please
  6. D

    MWAKYEMBE UNAONAJE TUANZE KUNUNUA Wakimbiza upepo kutoka Kenya na Ethiopia kama MO FARA kwa Uk

    najiuliza tatizo ni hatuna wakimbiaji wazuri au tatizo ni nini jamani it's real boaring kila marathoni kubwa unayoisikia duniani ni wakenya, Ethiopia. Eritrea mwakyembe angalia na upande huu wa wakimbiza upepo soccer wana sponsers wengi na wakubwa serikali kwanini isiwekeze uku? ikibidi...
  7. D

    India ni mtaji wa nani?

  8. D

    SUMATRA Dar mko wapi mbona daladala wanajipangia bei ovyo route ni moja lakini kila daladal lina nauli yake?

    It's real boaring kwa SUMATRA wa Dar yani daladali zinajipangia nauli tu ovyo ovyo na wako kimya mfano mdogo ni; Makumbusho Gongolamboto. Gongolamboto Mawasiliano Gongolamboto Kariakoo Gongolamboto Tandika Hizi route nimeziexperience wanajipangia nauli tupeni mwelekezo nauli ni shs ngapi au...
  9. D

    Nikilala usiku tumbo linajaa has na kuuma nikikaa linatulia

    Husika na kichwa cha habari jana ilikuwa siku ya pili nasumbuliwa gas tumboni nashindwa kulala usiku nikikaa kitandani haliumi nikilala tu linaanza. Nilishawahi kusumbuliwa na ili tatizo but halikuwa ivi niliambiwa ilisababishwa na ratiba mbovu za kula na vyakula nikawa natembea na magnesium...
Back
Top Bottom